-
Jeshi la Rwanda lapinga madai ya kuwabaka wanawake Jamhuri ya Afrika ya Kati
Oct 17, 2024 10:45Jeshi la Rwanda limekanusha madai ya ubakaji dhidi ya wanajeshi wake wanaohudumu katika Jamhuri ya Afrika ya Kati (CAR), likisema kuwa wanajeshi wa Rwanda katika ujumbe huo ni "wastaarabu" na "wanalinda na kuheshimu watu wanaokutana nao".
-
UN: Maisha ya maelfu ya wanawake Gaza yako hatarini huku Israel ikiendeleza vita
Oct 08, 2024 03:02Shirika la Umoja wa Mataifa linalohusika na kazi ya usawa wa kijinsia na uwezeshaji wa wanawake linasema maelfu ya wanawake wanakabiliwa na hatari za kiafya zinazohatarisha maisha katika Ukanda wa Gaza, ambapo zaidi ya Wapalestina 42,000 wameuawa kutokana na vita vya mauaji ya kimbari vinavyowendelezwa na utawala katili wa Israel.
-
Niger yasimamisha kipindi cha Wafaransa kinachodhalilisha wanawake Waafrika
Oct 04, 2024 07:12Serikali ya kijeshi ya Niger imepiga marufuku kipindi kinachorushwa na kanali ya televisheni ya Ufaransa ikisisitiza kuwa kipindi hicho ni tishio kwa thamani za nchi hiyo ya Afrika Magharibi.
-
Wakulima wa Afrika Kusini watuhumiwa kuuwa wanawake 2, na kisha miili yao kuwalisha nguruwe
Sep 11, 2024 03:12Wanaume watatu nchini Afrika Kusini wanatuhumiwa kuwauwa wanawake wawili na kisha miili yao kuwalisha nguruwe katika shamba lao. Kesi hii tajwa imeibua ghadhabu na hasira miongoni mwa jamii ya Afrika Kusini.
-
Wanaharakati watoa mwito wa kukomeshwa mauaji dhidi ya wanawake Kenya
Sep 07, 2024 02:49Makundi ya wanawake nchini Kenya yametoa mwito wa kuchukuliwa hatua za haraka ili kukabiliana na unyanyasaji wa kijinsia na mauaji dhidi ya wanawake katika nchi hiyo ya Afrika Mashariki.
-
Mwanariadha wa Uganda auawa kwa kuchomwa moto
Sep 05, 2024 12:44Madaktari na maafisa wa riadha wametangaza kuwa, mwanariadha wa Uganda Rebecca Cheptegei, aliyeshiriki katika michezo ya Olimpiki nchini Ufaransa amefariki dunia nchini Kenya leo.
-
Mwanamke wa Kimarekani aliyejaribu kumzamisha mtoto wa Kipalestina afunguliwa mashtaka ya jaribio la kuua
Sep 05, 2024 02:31Baraza Kuu la Mahakama ya Tarrant limemfungulia mashtaka mwanamke wa Texas kwa tuhuma za kujaribu kumzamisha msichana mwenye umri wa miaka 3 wa Kipalestina raia wa Marekani, kutokana na chuki za ubaguzi.
-
Mshukiwa wa mauaji ya makumi ya wanawake Kenya atoroka gerezani
Aug 20, 2024 12:01Raia wa Kenya aliyekiri kuhusika na mauaji ya wanawake 42 ambao baadhi yao miili yao ilipatikana imetupwa katika eneo la kutupa taka jijini Nairobi, ametoroka gerezani.
-
Jumuiya za kutetea haki za binadamu zataka sakata la kubakwa "binti" huko Tanzania lishughulikiwe ipasavyo
Aug 10, 2024 07:29Mashirika mbalimbali ya kutetea haki za binadamu yameendelea kupaza sauti yakitaka hatua za haraka zichukuliwe kuwashughulikia ipasavyo waliohusika na kitendo kiovu cha kumbaka na kumlawili binti mmoja wakidai kuwa wametumwa na "afande" kufanya ukatili huo.
-
Waziri Mkuu wa Bangladesh ajiuzulu, akimbia nchi, jeshi kuunda serikali
Aug 05, 2024 12:33Waziri Mkuu wa Bangladesh Sheikh Hasina amejiuzulu na kutoroka nchi huku kukiwa na maandamano makali dhidi ya sera za serikali na utawala wake wa muda mrefu.