-
Togo yateua tena mwanamke kuwa Waziri Mkuu kwa muda wa miaka sita
Aug 02, 2024 06:37Rais Faure Gnassingbe wa Togo jana Alkhamisi alimteua tena Victoire Tomegah-Dogbe kuwa waziri mkuu wa nchi hiyo kwa muhula wa miaka sita chini ya katiba mpya.
-
Rashida Tlaib amkabili Netanyahu katika Bunge la Marekani kwa kumwita "mhalifu wa kivita"
Jul 25, 2024 10:55Mwakilishi wa chama cha Democratic katika Kongresi ya Marekani, Rashida Tlaib amepinga hotuba iliyotolewa na Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, katika Congress jana, Jumatano, na kutaka awajibishwe kwa mauaji ya kimbari yanayofanyika Ukanda wa Gaza.
-
MSF: Theluthi moja ya waliojeruhiwa vitani huko Sudan ni wanawake au watoto wadogo
Jul 17, 2024 13:09Baada ya kupita zaidi ya mwaka mmoja wa vita vya wenyewe kwa wenyewe huko Sudan, karibu theluthi moja ya waliojeruhiwa ni wanawake au watoto walio na umri wa chini ya miaka 10. Ripoti hii imeelezwa na Shirika la Misaada ya Kimatibabu la Madaktari Wasio na Mipaka (MSF).
-
Atiwa mbaroni baada ya kukiri kuua wanawake 42 Kenya
Jul 15, 2024 11:44Polisi nchini Kenya imemkamata mshukiwa wa mauaji ya makumi ya wanawake viungani mwa mji mkuu, Nairobi.
-
Pendekezo jipya la mfuko wa uwezeshaji laleta matumaini kwa wanawake wajane Afrika
Jul 08, 2024 03:40Wanawake wajane kote barani Afrika wamepata matumaini mapya baada ya kutolewa pendekezo la kudhaminiwa fedha za kuwawezesha kimaisha. Mpango huo umependekezwa na mke wa Naibu Rais wa Kenya, Bi Dorcas Rigathi, wakati wa uzinduzi wa Mkutano wa Wajane wa Afrika uliofanyika Zanzibar.
-
Masuala ya kiutamaduni na wanawake; ajenda kuu ya mdahalo wa wagombea wa uchaguzi wa rais wa Iran
Jun 22, 2024 10:54Mdahalo wa tatu wa kisiasa kwa njia ya televisheni wa wagombea wa kiti cha urais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran umefanyika huku wagombea wakibainisha mipango yao ya sera za serikali kuhusu wanawake na uzalishaji wa kiutamaduni nchini.
-
Waziri Mkuu wa kwanza mwanamke wa DR Congo aapishwa
Jun 12, 2024 11:23Bi Judith Suminwa Tuluka ameapishwa kuwa waziri mkuu wa kwanza mwanamke wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC).
-
Wanawake wa Iran washika nafasi ya pili kwa kutwaa medali nane katika Mashindano ya Kurash,Asia
Jun 09, 2024 08:00Wanawake wa Iran wameshinda medali nane na kuwa washindi wa pili wa Mashindano ya Kurash ya Bara Asia.
-
Mexico yapata Rais wa kwanza mwanamke; ni Sheinbaum
Jun 03, 2024 08:08Claudia Sheinbaum amechaguliwa kuwa rais wa kwanza mwanamke nchiini Mexico katika ushindi wa kihistoria.
-
Zohreh Elahian, mwanamke wa kwanza kujiandikisha kuwania urais Iran 2024
Jun 02, 2024 05:11Mbunge wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran), Zohreh Elahian amekuwa mwanamke wa kwanza kujiandikisha kugombea uchaguzi wa mapema wa duru ya 14 ya urais wa Jamhuri ya Kiislamu, kufuatia kufa shahidi Rais Ebrahim Raisi katika ajali ya helikopta.