Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Wizara ya Mambo ya Nje

  • Kujibu mapigo Russia; amri ya Putin ya kusimamishwa utekelezaji wa mkataba wa silaha za nyuklia wa INF

    Kujibu mapigo Russia; amri ya Putin ya kusimamishwa utekelezaji wa mkataba wa silaha za nyuklia wa INF

    Feb 03, 2019 04:23

    Tarehe 20 Oktoba 2018, katika mwendelezo wa sera zake kuu za kujitoa kwenye mikataba na makubaliano ya kimataifa, Rais Donald Trump wa Marekani alitangaza kuwa nchi yake itajiondoa pia kwenye mkataba wa silaha za nyuklia za masafa ya kati, kwa kifupi INF.

  • Iran: Nchi za Ulaya si wakweli katika suala la kupambana na ugaidi

    Iran: Nchi za Ulaya si wakweli katika suala la kupambana na ugaidi

    Jan 09, 2019 13:30

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amelaani uamuzi usio na mantiki na wa kushangaza uliochukuliwa na Umoja wa Ulaya wa kuwawekea vikwazo raia kadhaa wa Iran kwa kutegemea tuhuma zisizo na msingi wowote.

  • Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Palestina yalalamikia kuendelea kuchimbwa mashimo chini ya Masjid al-Aqswa

    Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Palestina yalalamikia kuendelea kuchimbwa mashimo chini ya Masjid al-Aqswa

    Dec 30, 2018 23:13

    Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Mamlaka ya Ndani ya Palestina imetoa taarifa ikitaka kufanyike uchunguzi wa kimataifa kuhusu uchimbaji mashimbo unaofanywa na Wazayuni chini ya Msikiti wa al-Aqswa na maeneo ya kandokando na msikiti huo.

  • Syria yalalamikia wizi unaofanywa na Marekani, Ufaransa na Uturuki wa turathi zake

    Syria yalalamikia wizi unaofanywa na Marekani, Ufaransa na Uturuki wa turathi zake

    Dec 11, 2018 21:40

    Wizara ya Mambo ya Nje ya Syria imetoa taarifa ikilalamikia wizi unaofanywa na wavamizi hususan Marekani, Ufaransa na Uturuki wa turathi zake za kale za kiutamaduni.

  • Bahram Qassemi: Wananchi wa Iran watazishinda siasa za ubabe na utumiaji mabavu

    Bahram Qassemi: Wananchi wa Iran watazishinda siasa za ubabe na utumiaji mabavu

    Nov 11, 2018 04:21

    Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, wananchi wa Iran wataushinda ubabe na utumiaji mabavu kutoka upande wowote ule, na historia ni ushahidi wa wazi wa utamaduni na mwenendo huu wa Wairani.

  • Iran: Kurejea vikwazo vya Marekani ni kusambaratika maadili na siasa za utawala wa Washington

    Iran: Kurejea vikwazo vya Marekani ni kusambaratika maadili na siasa za utawala wa Washington

    Nov 03, 2018 11:10

    Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran imetoa taarifa na kusema Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwa ushirikiano na nchi rafiki na kwa kutegemea uwezo wake wa ndani na kimataifa, itatumia busara na kuweza kuvuka vikwazo visivyo vya kisheria vya Marekani.

  • Iran: Trump ameshindwa ndio maana anazidi kupayuka

    Iran: Trump ameshindwa ndio maana anazidi kupayuka

    Oct 15, 2018 04:24

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, viongozi wa Marekani hasa Donald Trump wanaendelea kushindwa mtawalia mbele ya irada na tadibiri makini ya serikali na taifa la Iran na ndio maana wanazidi kutoa tuhuma zisizo na msingi dhidi ya Tehran.

  • Algeria yalaani jinai za wanajeshi wa Israel katika Ukanda wa Ghaza

    Algeria yalaani jinai za wanajeshi wa Israel katika Ukanda wa Ghaza

    Aug 11, 2018 22:39

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Algeria amelaani vikali jinai za wanajeshi makatili wa utawala wa Kizayuni wa Israel katika Ukanda wa Ghaza.

  • Askari usalama wavamia jengo la wizara ya mambo ya nje ya Somalia

    Askari usalama wavamia jengo la wizara ya mambo ya nje ya Somalia

    Aug 04, 2018 22:03

    Duru za habari Somalia zimeripoti kuwa askari usalama wamevamia jengo la Wizara ya Mambo ya Nje katika mji mkuu Mogadishu kwa lengo la kumtia nguvuni Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa nchi hiyo.

  • Iran yalaani kuendelea jinai za wavamizi Wasaudi dhidi ya watu wa Yemen

    Iran yalaani kuendelea jinai za wavamizi Wasaudi dhidi ya watu wa Yemen

    Aug 03, 2018 10:56

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuendelea jina za kila siku za wavamizi Wasaudi na kimya cha jamii ya kimataifa kumepelekea hali ya watu wa Yemen kuwa mbaya zaidi.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS