-
Qassemi: Jinai ya Marekani ya kutungua ndege ya abiria ya Iran haitasahaulika
Jul 03, 2018 10:52Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Iran amesema kuwa Wairani kamwe hawatasahau jinai ya shambulizi la meli ya kivita ya Marekani dhidi ya ndege ya abiria ya Iran katika anga ya maji ya Ghuba ya Uajemi.
-
Qassemi: EU ichukue uamuzi haraka kuhusu namna ya kuendeleza JCPOA
Jun 11, 2018 10:31Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran ameutaka Umoja wa Ulaya uchukue uamuzi haraka kuhusu namna makubaliano ya nyuklia ya JCPOA yataweza kuendelezwa.
-
Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran yatoa jibu kwa matamshi machafu ya Pompeo
May 22, 2018 05:03Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imetoa taarifa maalumu inayoeleza kwamba matamshi ya Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani dhidi ya Iran ni ishara ya kuemewa na kuishiwa nchi hiyo na kutojua la kufanya.
-
Qassemi: Iwapo Marekani itajitoa katika JCPOA, itapata pigo kubwa
May 07, 2018 10:59Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema kuwa, iwapo Marekani itajitoa katika mapatano ya nyuklia yanayojulikana kwa kifupi kama JCPOA, basi madhara yake yataikumba Washington yenyewe kabla ya upande mwingine wowote.
-
Yemen: Njia pekee ya kusitisha kipigo cha makombora ya Yemen nchini Saudia ni kukomeshwa jinai za Aal Saud
Apr 13, 2018 02:39Mshauri wa Waziri wa Mambo ya Nje wa Yemen amesema kuwa njia pekee ya kukomeshwa kipigo cha makombora ya jeshi la Yemen na harakati ya wananchi ya Answarullah dhidi ya Saudi Arabia, ni utawala wa Aal-Saud kuacha kuwashambulia raia wasio na hatia wa Yemen.
-
Syria yataka askari vamizi wa Uturuki kuondoka mara moja eneo la Afrin
Mar 20, 2018 00:43Wizara ya Mambo ya Nje ya Syria imemwandikia barua Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa na Mwenyekiti wa hivi sasa wa Baraza la Usalama la umoja huo, ikilalamikia uvamizi na jinai za jeshi la Uturuki dhidi ya mji wake wa Afrin na wakazi wake.
-
Russia yajibu mapigo, yawatimua wanadiplomasia wa Uingereza
Mar 18, 2018 03:01Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Russia imetangaza kuwa, wanadiplomasia 23 wa Uingereza wamefukuzwa nchini humo na kwamba wanapaswa kuondoka katika ardhi ya nchi hiyo katika kipindi cha wiki moja ijayo.
-
Kufukuzwa wanadiplomasia wa Russia nchini Uingereza na kushtadi mikwaruzano kati ya Moscow na London
Mar 15, 2018 07:39Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia jana Jumatano ilitoa taarifa na kubainisha kuwa uamuzi uliochukuliwa na Theresa May Waziri Mkuu wa Uingereza wa kuwafukuza nchini humo wanadiplomasia 23 wa Russia pamoja na hatua nyinginezo, ni kitendo cha uchochezi. Wakati huo huo Moscow imeashiria madai ya Uingereza ya kupewa sumu Sergei Sripal jasusi wa amani wa Russia nchini humo na hatua nyinginezo zilizochukuliwa na London na kutahadharisha kuwa: "Uingereza imechagua mkondo wa makabiliano."
-
Iran: Serikali ya Uingereza inaunga mkono mvamizi katika vita vya Yemen
Feb 26, 2018 10:34Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran Bahram Qassemi amesema: Pamoja na kuwa serikali ya Uingereza inatoa nara za kumaliza vita Yemen lakini inatumia ushawishi wake kimataifa kuunga mkono mvamizi."
-
Syria yaionya Israel isithubutu tena kuingiza ndege zake nchini humo
Feb 15, 2018 00:34Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Syria ametoa onyo kali akisema kuwa utawala wa Kizayuni wa Israel usithubutu tena kuishambulia nchi yake vinginevyo itakumbwa na majibu yatakayouweka mdomo wazi.