Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

ya nyuklia

  • Balozi wa Iran IAEA: Silaha za Nyuklia za Israel ni tishio kwa amani duniani

    Balozi wa Iran IAEA: Silaha za Nyuklia za Israel ni tishio kwa amani duniani

    Sep 30, 2016 04:19

    Balozi wa Iran katika Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki IAEA amesema silaha za nyuklia za utawala wa Kizayuni wa Israel ni tishio kwa usalama wa eneo na dunia nzima.

  • Iran yasema iko tayari kuwa na ushirikiano wa nyuklia na nchi za eneo

    Iran yasema iko tayari kuwa na ushirikiano wa nyuklia na nchi za eneo

    Sep 16, 2016 22:10

    Mkuu wa Shirika la Nishati ya Atomiki ya Iran (IAEO) Ali Akbar Salehi amesema Jamhuri ya Kiislamu iko tayari kushirikiana na nchi za eneo la Ghuba ya Uajemi katika uga wa ustawishaji nishati ya nyuklia.

  • Putin: Madai ya urongo ya magharibi kuhusu miradi ya nyuklia ya Iran yamefikia mwisho

    Putin: Madai ya urongo ya magharibi kuhusu miradi ya nyuklia ya Iran yamefikia mwisho

    Jun 30, 2016 22:17

    Rais Vladmir Putin wa Russia amesema kuwa, madai ya urongo ya nchi za Magharibi dhidi ya miradi ya kuzalisha nishati ya nyuklia kwa matumizi ya amani nchini Iran yamefikia tamati.

  • Miradi ya nyuklia ya Iran katika njia ya ustawi na maendeleo

    Miradi ya nyuklia ya Iran katika njia ya ustawi na maendeleo

    May 31, 2016 07:21

    Mkuu wa Taasisi ya Nishati ya Nyuklia ya Iran ametangaza habari ya kuandaliwa mazingira mazuri ya kuzalishwa isotopu (atomu zenye uzito tofauti na atomu nyingine) endelevu kwa ushirikiano na Russia katika taasisi za nyuklia za Iran.

  • Wajapan waandamana kulaani ziara ya Rais wa Marekani Hiroshima

    Wajapan waandamana kulaani ziara ya Rais wa Marekani Hiroshima

    May 27, 2016 23:19

    Maelfu ya wananchi wa Japan wameandamana kulaani kitendo cha Rais Barack Obama wa Marekani cha kukataa kuomba radhi kwa jinai zilizofanywa na nchi yake za kuishambulia kwa mabomu ya nyuklia miji ya Hiroshima na Nagasaki ya nchi hiyo.

  • Korea Kaskazini: Tukishambuliwa; tutatumia silaha za nyuklia kujilinda

    Korea Kaskazini: Tukishambuliwa; tutatumia silaha za nyuklia kujilinda

    May 08, 2016 09:32

    Kiongozi wa Korea ya Kaskazini amesema kuwa, nchi yake haitatumia silaha za nyuklia lakini endapo itashambuliwa, basi itatumia silaha hizo kwa ajili ya kujilinda.

  • Kenya yatathmini teknolojia ya kuzalisha umeme wa nyuklia

    Kenya yatathmini teknolojia ya kuzalisha umeme wa nyuklia

    May 03, 2016 03:00

    Kenya imetangaza kuanzisha tathmini kuhusu ni teknolojia ipi ya nyuklia itumike ili kujenga kinu cha nyuklia nchini humo.

  • Siku ya Kitaifa ya Teknolojia ya Nyuklia; Jitihada za Kujitosheleza

    Siku ya Kitaifa ya Teknolojia ya Nyuklia; Jitihada za Kujitosheleza

    Apr 07, 2016 06:45

    Maadhimisho ya Siku ya Kitaifa ya Teknolojia ya Nyuklia yamefanyika leo katika hafla maalumu iliyodhuhuriwa na Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislam ya Iran sambamba na kuzinduliwa mafanikio kadhaa ya nyuklia.

Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS