-
Mgogoro wa kidiplomasia baina ya Algeria na mkoloni Ufaransa wazidi kupamba moto
Apr 17, 2025 02:11Uamuzi wa Ikulu ya mkoloni kizee Ufaransa wa kumrejesha nyumbani balozi wake wa nchini Algeria na kuwafukuza wanadiplomasia 12 wa Algeria nchini humo umezidisha moto wa mgogoro kati ya Paris na Algiers ambapo afisa mmoja wa Algeria amesema kuwa, Ufaransa ndiyo inayopaswa kulaumiwa kwa kuzorotesha uhusiano wake na Algiers.
-
CHADEMA: Haki ya kikatiba haiwezi kuondolewa na kanuni za Tume ya Uchaguzi ya Tanzania
Apr 16, 2025 08:01Chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania CHADEMA kimesema kutenguliwa kwake katika uchaguzi unaotarajiwa kufanyika baadaye mwaka huu ni kinyume cha katiba. Kauli hiyo imetolewa siku chache baada ya Mwenyekiti Taifa wa chama hicho kukamatwa na kufunguliwa mashtaka ya uhaini.
-
Jeshi la Sudan lasonga mbele Omdurman Magharibi, lateka tena maeneo 3 kutoka RSF
Apr 16, 2025 04:32Jeshi la Sudan jana lilitangaza kuwa limesonga mbele katika eneo la Omdurman Magharibi na kukomboa maeneo matatu na kambi moja kutoka kwa wanamgambo wa Kikosi cha Msaada wa Haraka (RSF).
-
Watu 7 wauawa katika shambulizi kaskazini-kati mwa Nigeria
Apr 16, 2025 04:27Wafugaji waliokuwa na silaha jana Jumanne waliishambulia jamii ya Otobi katika Jimbo la Benue kaskazini-kati mwa Nigeria, siku moja baada ya kundi lililokuwa na silaha kuwaua watu 51 katika Jimbo la Plateau.
-
Polisi Kenya wamjibu Gachagua, wasema: Tutakulinda kama raia wengine
Apr 15, 2025 23:44Idara ya Polisi ya Kenya imemwambia aliyekuwa Naibu Rais wa nchi hiyo, Rigathi Gachagua, kwamba italinda usalama wake kama raia wengine na imemtaka kutoa taarifa kwa polisi kuhusu ratiba na mienendo yake ili kuruhusu maafisa kupanga ulinzi wake ipasavyo.
-
UN: Kati ya Wasudan 3 mmoja ni mkimbizi na kati ya wakimbizi 6 duniani, mmoja ni Msudan
Apr 15, 2025 22:52Mwakilishi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi UNHCR, Kanda ya Afrika Mashariki, Pembe ya Afrika na Maziwa Makuu, Mamadou Dian Balde amesema, mmoja kati ya Wasudan watatu kwa sasa ni wakimbizi, na mmoja kati ya watu sita waliopoteza makazi yao duniani anatoka Sudan.
-
Iran yabainisha wasiwasi wake kuhusu hali mbaya ya watu wa Al-Fasher, Sudan
Apr 15, 2025 06:44Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amebainisha wasiwasi wake juu ya hali mbaya ya kibinadamu ya watu wa mji wa Al-Fasher uliozingirwa huko Sudan, na ametaka kuondolewa kwa mzingiro huo, kusitishwa kwa mashambulizi, na kulindwa kwa maisha ya raia kwa mujibu wa misingi ya sheria za kimataifa za kibinadamu.
-
Ripoti yabaini namna Waisraeli wanavyopora figo za Wakenya
Apr 15, 2025 06:43Hospitali moja kibinafsi nchini Kenya yenye matawi kadhaa Afrika Mashariki, inachunguzwa na serikali ya Kenya baada ya kubainika kuwa inauhusika katika mtandao wa ulanguzi wa viungo vya binadamu ambavyo vinauziwa watu kutoka nje ya nchi hiyo wakiwemo Waisraeli.
-
Watu wanne wafariki Rwanda na hekari 70 za mazao zaharibika kufuatia mvua kubwa
Apr 15, 2025 06:41Watu wanne wamepoteza maisha yao na angalau hekari 70 za mazao zimeharibika ati ya Aprili 10 na 13, kufuatia mvua kubwa zilizosababisha mafuriko na maporomoko ya ardhi nchini Rwanda. Hayo ni kwa mujibu wa ripoti ya Wizara ya Usimamizi wa Masuala ya Dharura.
-
UN: Mauaji ya mamia ya watu El-Fasher, Sudan yanatisha
Apr 15, 2025 04:29Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa amelaani vikali mashambulizi mabaya ya hivi karibuni ya Vikosi vya Msaada wa Haraka (RSF) huko eneo la Darfur Kaskazini nchini Sudan akisema kuwa, mashambulizi hayo yanaashiria kushindwa kwa jamii ya kimataifa kuchukua hatua za maana licha ya maonyo ya mara kwa mara.