-
Sudan Kusini yakanusha uwepo wa Wanajeshi wa Uganda
Mar 12, 2025 09:09Wizara ya Habari ya Sudan Kusini imekanusha madai ya uwepo wa wanajeshi wa Uganda nchini humo, baada ya kutangazwa kuwa wameingia nchini humo kulinda usalama.
-
Kwa nini Marekani inataka kuwekeza katika sekta ya madini nchini Kongo DR?
Mar 12, 2025 09:02Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na Marekani zinapanga kushirikiana katika mapatano ya kiuchumi na kisiasa.
-
Angola kusimamia mazungumzo ya moja kwa moja kati ya DRC na waasi wa M23
Mar 12, 2025 08:51Angola imetangaza kuwa itajaribu kusaidia kufanikisha mazungumzo ya moja kwa moja kati ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) na waasi wa M23 wanaoungwa mkono na Rwanda, kama sehemu ya juhudi za kumaliza mgogoro wa muda mrefu mashariki mwa DRC.
-
Al-Shabaab yaendelea kumwaga damu za Waislamu Ramadhani
Mar 12, 2025 03:41Wanachama waliokuwa wamejizatiti kwa silaha wa kundi la kigaidi la al-Shabaab wamewauwa watu wasiopungua saba katika shambulio dhidi ya hoteli moja katika mji wa kati wa Somalia; ambapo wazee wa eneo hilo na maafisa wa serikali walikuwa wamekutana kujadili jinsi ya kuchukua hatua dhidi ya genge hilo la wanamgambo.
-
Mripuko wa homa ya uti wa mgongo waua makumi Nigeria
Mar 12, 2025 03:35Watu wasiopungua 26 wameaga dunia kutokana na mripuko wa ugonjwa wa uti wa mgongo (Meningitis) katika Jimbo la Kebbi kaskazini magharibi mwa Nigeria.
-
UNICEF asilimia 50 ya Watanzania ni watoto; vijana ni 72%
Mar 11, 2025 08:06Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto (UNICEF) limetilia mkazo msimamo wake wa kuwasaidia watoto nchini Tanzania ili kuwawwezesha wasichana wanaobaleghe kupata huduma za elimu, afya na lishe nzuri.
-
Vita na uasi wa M23 vyapunguza biashara kati ya Burundi na DR Congo
Mar 11, 2025 07:57Shughuli mbalimbali za kibiashara zimeporomoka nchini Burundi tangu vilipoongezeka vita mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo mwezi Februari mwaka jana.
-
Tunisia na Misri kwa mara nyingine zapinga kuhamishwa kwa nguvu Wapalestina
Mar 11, 2025 07:56Rais Abdel-Fattah al-Sisi wa Misri na mwenzake wa Tunisia, Kais Saied, wametilia tena mkazo msimamo wa nchi zao wa kupinga kuhamishwa kwa nguvu Wapalestina katika ardhi zao.
-
Je, Afrika Kusini itasalimu amri mbele ya ubabe wa Trump?
Mar 11, 2025 04:33Kwa kuendelea msimamo wa kuingilia kati wa Rais Donald Trump wa Marekani katika masuala ya ndani ya Afrika Kusini, serikali ya Pretoria imetangaza kuwa haitajiingiza katika diplomasia isiyo na tija ya "kupiga kelele kupitia vipaza sauti" na Marekani.
-
Rais wa Sudan Kusini awafuta kazi mawaziri 3
Mar 11, 2025 03:29Rais Salva Kiir Mayardit wa Sudan Kusini amewafuta kazi mawaziri watatu jana Jumatatu katika mabadiliko yake ya hivi karibuni ndani ya Baraza la Mawaziri.