-
Tarabelsi: Juhudi za UN ni muhimu kwa ajili ya kuwarejesha makwao kwa hiari wahamiaji
Mar 06, 2025 06:25Waziri wa Mambo ya Ndani wa Libya, Emad al-Tarabelsi amesisitizia umuhimu wa kuweko msaada wa Ujumbe wa Umoja wa Mataifa nchini Libya (UNSMIL) katika kuendeleza jitihada za kuhakikisha wahamiaji wanaondoka Libya kwa hiari yake na kurejea kwenye nchi zao.
-
Afrika Kusini: Israel inatumia njaa kama silaha ya vita dhidi ya watu wa Gaza
Mar 06, 2025 04:12Afrika Kusini imesema kwamba "Israel inatumia njaa kama silaha ya vita" huko Gaza kwa kuzuia misaada ya kibinadamu kufika eneo hilo tangu Jumapili iliyopita.
-
Mkutano wa 11 wa Mafuta na Gesi wa Afrika Mashariki (EAPCE’25) waanza Dar
Mar 06, 2025 04:11Makamu wa Raisi wa Tanzania, Dkt Philip Mpango amesema kuwa nchi za Kusini mwa Jangwa la Sahara, zinapaswa kutumia fedha zinazokusanywa ili kuwekeza katika sekta ya nishati safi.
-
Sudan Kusini yawatia mbaroni 'wapambe' wa Riek Machar
Mar 05, 2025 22:57Vikosi vya Sudan Kusini vimemkamata Waziri wa Mafuta na maafisa kadhaa wakuu wa kijeshi waitifaki wa Makamu wa Kwanza wa Rais, Riek Machar; huku wanajeshi wakiendele kuizingira nyumba yake katika mji mkuu, Juba.
-
Shura ya Maimamu Tanzania yakaribisha kuachiwa huru Masheikh 12
Mar 05, 2025 10:12Shura ya Maimamu Tanzania imepokea kwa mikono miwili uamuzi wa mahakama wa kuwaachia huru Masheikh 12 waliokaa gerezani miaka 10, (2015-2025), kwa tuhuma za ugaidi. Uamuzi huo umetolewa na Jaji wa Mahakama Kuu Mheshimiwa Arnold John Kirekiano.
-
Uingereza yakataa kuilipa Rwanda fidia baada ya kufuta mkataba wa wahamiaji
Mar 05, 2025 06:46Serikali ya Uingereza imekataa kuilipa Rwanda fidia baada ya kufuta mkataba wa wahamiaji kati ya nchi hizo mbili.
-
Wasomali wengine milioni moja kuathiriwa na ukosefu wa usalama wa chakula kutokana na ukame
Mar 05, 2025 02:50Shirika la Mpango wa Chakula Duniani (WFP) limeripoti kuwa Ukame, mzozo na kupanda kwa bei za vyakula vinaweza kusabaisha uhaba na kukosekana usalama wa chakula kwa Wasomali wengine milioni moja katika miezi mingine ijayo.
-
Mkuu wa WHO: Uongozi wa Kiafrika uko imara katika nyanja nyingi za afya duniani
Mar 05, 2025 02:43Tedros Adhanom Ghebreyesus Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Duniani (WHO) amebainisha kuwa uongozi wa Afrika una nguvu katika nyanja nyingi za afya duniani.
-
Wahamiaji 349 walizuiwa kuendelea na safari katika pwani ya Libya wiki iliyopita
Mar 05, 2025 00:43Shirika la Kimataifa la Uhamiaji (IOM) lilisema jana Jumanne kwamba wahamiaji 349 walizuiwa kuendelea na safari nje ya pwani ya Libya wiki iliyopita.
-
Umoja wa Mataifa: Waasi wa M23 wawateka wagonjwa 130 mashariki mwa DRC
Mar 05, 2025 00:41Umoja wa Mataifa umetangaza kuwa, wapiganaji wa M23 wamewateka karibu watu 130 kutoka hospitali za mji wa Goma wa mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo, unaodhibitiwa na waasi hao.