-
WFP yasimamisha usambazaji wa chakula Darfur Kaskazini, Sudan
Mar 01, 2025 03:44Shirika la Mpango wa Chakula Duniani (WFP) limesitisha usambazaji wa chakula cha msaada katika kambi ya wakimbizi ya Zamzam nchini Sudan kutokana na kushtadi mapigano kati ya jeshi la serikali na Vikosi vya Msaada wa Haraka (RSF).
-
Imebainika: Ugonjwa "usiojulikana" ulioua makumi ya watu Congo DR ni malaria
Mar 01, 2025 00:18Imebainika kuwa vifo vya makumi ya watu na mamia ya visa vilivyozua hofu katika jimbo la Equateur nchini Congo DR vimehusishwa na ugonjwa wa malaria. Awali iliripotiwa kuwa vifo hivyo viimesababishwa na ugonjwa usiojulikana.
-
Uanachama wa Nchi za Afrika katika ECO: Fursa ya kuimarisha ushirikiano wa Kiuchumi
Feb 28, 2025 12:07Kuongeza ushirikiano na kupanua mahusiano katika nyanja mbalimbali za uchumi ni miongoni mwa malengo makuu ya nchi wanachama wa Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiuchumi (ECO).
-
Umoja wa Mataifa: Dola bilioni 2.54 zinahitajika kwa ajili ya misaada ya kibinadamu DRC
Feb 28, 2025 09:37Umoja wa Mataifa umetangaza kuwa, kunahitajika zaidi ya dola bilioni mbili kwa ajili ya kufanikisha zoezi la utoaji misaada ya kibinadamu katika Jamhuri yay Kidemokrasia ya Congo.
-
Mfumuko wa bei Kenya waongezeka kwa mwezi wa nne mtawalia
Feb 28, 2025 09:37Kenya inakabiliwa na mfumuko wa bei za bidhaa ambapo mfumuko huo umeripotiwa kuongezeka kwa mwezi wa nne mtawalia.
-
Mkutano wa G20 wafikia tamati bila mwafaka
Feb 28, 2025 09:36Mkutano wa G20 uliokuwa ukifanyika nchini Afrika Kusini umemalizika bila ya washiriki wake kufikia mwafaka.
-
Takriban watu 11 wameuawa na 65 kujeruhiwa katika milipuko 2 kwenye maandamano ya M23 huko Bukavu
Feb 28, 2025 04:04Mabomu mawili yalilipuka siku ya jana Alhamisi kwenye maandamano ya waasi wa M23 huko Bukavu, mji uliotekwa na makundi yenye silaha mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, na kuua takriban watu 11 na kujeruhi 65.
-
Mkuu wa haki za binadamu wa UN atadhaharisha juu ya hali mbaya ya mgogoro nchini Sudan
Feb 28, 2025 04:02Mkuu wa haki za binadamu wa Umoja wa Mataifa siku ya Alhamisi aligusia mzozo unaozidi kuongezeka nchini Sudan na kutoa wito wa kuchukuliwa hatua za haraka za kimataifa ili kuzuia ukatili zaidi, njaa na watu wengi kuhama makazi yao.
-
ICC yaunga mkono kuundwa mahakama maalum kuchunguza uhalifu DRC
Feb 27, 2025 23:14Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) imetangaza kuunga mkono kuundwa mahakama maalumu ya kuchunguza uhalifu katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo.
-
Rais Ramaphosa: Mivutano ya kisiasa inakwamisha maendeleo
Feb 27, 2025 23:13Rais Cyrill Ramaphosa wa Afrika Kusini amesema kuwa, mivutano ya kisiasa inatishia maendeleo ya dunia na kwamba ulimwengu utaendelea kurudi nyuma kutokana na kukosekana uthabiti na ushirikiano wa kimataifa.