-
Rais wa Kenya awataka vijana kupuuza viongozi wachochezi, asema Uhuru hatawasaidia
Jan 20, 2025 03:59Rais William Ruto wa Kenya amewataka vijana kuwapuuza viongozi wanaowachochea kuzua fujo na uharibifu wa mali bali wajipange kupata ajira katika miradi na mipango ya serikali yake.
-
Kenya yatuma wanajeshi zaidi nchini Haiti
Jan 19, 2025 23:19Kenya imetuma maafisa 217 zaidi wa polisi nchini Haiti, kama sehemu ya jeshi la kimataifa la kukabiliana na ghasia za magenge katika taifa hilo la Karibia.
-
Rais Tshisekedi akataa mazungumzo ya moja kwa moja na M23
Jan 19, 2025 23:18Rais Felix Tshisekedi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo amefutilia mbali uwezekano wa serikali yake kufanya mazungumzo ya moja kwa moja na kundi la M23, akisema kwamba hatua hiyo italipa uhalali kundi hilo.
-
Watu 86 waaga dunia katika mlipuko wa lori la mafuta Nigeria
Jan 19, 2025 23:18Watuu wasiopungua 86 wameaga dunia katika Jimbo la Niger, nchini Nigeria katika tukio la mlipuko mkubwa wa lori la mafuta.
-
Wanajeshi wa Ufaransa kuondoka pia Senegal
Jan 19, 2025 02:16Serikali ya Ufaransa inapanga kufunga kambi yake ya kijeshi nchini Senegal baada ya kuwaondoa wanajeshi wake kutoka Senegal.
-
Ripoti: Mzozo wa Sudan unazidi kuwa mbaya zaidi
Jan 18, 2025 23:10Kamishna wa Haki za Kibinadamu wa Umoja wa Mataifa Volker Türk amesema kuwa, mzozo wa kivita unaoendelea nchini Sudan unazidi kuwa mbaya zaidi kwa raia.
-
Umoja wa Mataifa: Watu 230,000 wamekimbia ghasia mashariki mwa DRC
Jan 18, 2025 23:09Umoja wa Mataifa umesema kuwa, watu wapatao 230,000 wamekimbia ghasia mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo tangu kuanza mwaka huu wa 2025.
-
Idadi ya miili iliyotolewa kwenye mgodi wa dhahabu Afrika Kusini yafikia 78
Jan 18, 2025 23:08Mamlaka ya Afrika Kusini imefanikiwa kupata miili 78 kutoka kwenye machimbo ya dhahabu yaliyogurwa huko Stilfontein, baada ya mzingiro wa wiki kadhaa uliolenga wachimbaji haramu.
-
Rais wa Sudan Kusini ahimiza utulivu baada ya maandamano na kuporwa biashara za watu
Jan 18, 2025 08:04Rais Salva Kiir wa Sudan Kusini amewahimiza wananchi kurejesha utulivu na kutoa wito wa kuhitimishwa ukatili unaofanywa na vikosi vya ulinzi vya Sudan dhidi ya raia wa Sudan Kusini.
-
Uhuru awahimiza Gen Z kupigania haki zao Kenya
Jan 18, 2025 07:53Rais Mstaafu wa Kenya, Uhuru Kenyatta kwa mara ya kwanza amevunja kimya chake kuhusu maandamano ya Gen Z, akiwataka waendelee kutetea haki zao.