-
Afrika ilikuwa na zaidi ya miripuko 200 ya magonjwa mwaka 2024
Jan 18, 2025 03:14Vituo vya Afrika vya Kudhibiti na Kuzuia Magonjwa (Africa CDC) vimeonya kuhusu ongezeko kubwa la dharura la afya ya umma katika bara zima la Afrika, huku zaidi ya miripuko ya magonjwa 200 ikiripotiwa mwaka jana.
-
Malawi yazindua mpango wa miaka 5 wa kudhibiti kipindupindu
Jan 18, 2025 03:13Malawi imezindua mpango wa miaka 5 wa kudhibiti kipindupindu ambao unalenga kupunguza kiwango cha matukio ya kila mwaka ya ugonjwa huo kwa asilimia 90 na kufikia kiwango cha chini kabisa cha vifo ifikapo mwaka 2030.
-
Sudan yakosoa hatua ya Marekani ya kumuwekea vikwazo kamanda wa jeshi la nchi hiyo
Jan 17, 2025 23:11Sudan imelaani na kukosoa uamuzi wa Wizara ya Fedha ya Marekani ya kumuwekea vikwazo kiongozi wa jeshi la nchi hiyo, Jenerali Abdel Fattah al-Burhan.
-
Mamlaka za Afrika Kusini zinakabiliwa na uchunguzi kuhusu zilivyoghulikia wachimba madini haramu
Jan 17, 2025 23:10Mamlaka za Afrika Kusini zinakabiliwa na hasira na malalamiko ya umma kutokana na jinsi zilivyoshughulikia mgogoro wa wachimbaji madini haramu walionaswa kwenye mgodi wa dhahabu uliogurwa huko Stilfontein, huku idadi ya waliofariki dunia kutokana na tukio hilo ikifikia watu 87.
-
Kenya yathibitisha wagonjwa wengine 2 wa Mpox
Jan 17, 2025 10:37Kenya leo imethibitisha kuwepo wagonjwa wengine 2 wenye maambukizi ya Mpox na hivyo kufanya jumla ya kesi za ugonjwa huo zilizothibitishwa hadi sasa nchini humo kufikia 33.
-
AU na nchi kadhaa za kikanda zakaribisha usitishaji vita Gaza
Jan 17, 2025 10:26Nchi kadhaa za Kiafrika na Umoja wa Afrika (AU) zimekaribisha makubaliano ya kusitisha mapigano kati ya Israel na Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas).
-
Afrika Kusini yapongeza makubaliano ya kusitisha mapigano Ghaza
Jan 17, 2025 03:49Serikali ya Afrika Kusini imepongeza makubaliano ya kusitisha mapigano yaliyofikiwa kati ya Israel na Hamas na kuyataja kuwa ni "hatua muhimu ya kwanza" kuelekea kumaliza mgogoro wa kibinadamu huko Ghaza.
-
Raia wa China jela kwa uchimbaji madini kinyume cha sheria, utakatishaji fedha DRC
Jan 17, 2025 03:47Raia watatu wa China wamehukumiwa kifungo cha miaka saba jela kwa uchimbaji haramu wa madini mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
-
Wanajeshi wa Niger wawatia mbaroni magaidi na silaha
Jan 17, 2025 03:47Jeshi la Niger limetangaza kuwa, limefanikiwa kuwatia mbaroni dazeni ya magaidi na kiasi kikubwa cha silaha kupitia operesheni mbalimbali zilizoendeshwa katika nchi hiyo ya magharibi mwa Afrika.
-
Tanzania: Sampuli zilizopimwa hazijathibitisha uwepo wa virusi vya Marbug
Jan 16, 2025 23:43Serikali ya Tanzania imesema kuwa sampuli zilizochukuliwa hazijathibitisha uwepo wa virusi vya Marburg, hayo ni kulingana na taarifa iliyotolewa na Wizara ya Afya.