-
Ufaransa yakabidhi kituo cha kijeshi cha Abeché kabla ya kuondoa askari wake nchini Chad
Jan 12, 2025 23:59Serikali ya Ufaransa imekabidhi kituo cha wanajeshi wake katika mji wa Abeché nchini Chad katika hafla iliyohudhuriwa na Waziri wa Ulinzi wa Chad, ujumbe wake, pamoja na maafisa wa Ufaransa.
-
Wananchi wa Comoro wapiga kura kuwachagua wawakilishi wa bunge huku wapinzani wakisusia
Jan 12, 2025 08:48Wananchi katika visiwa vya Comoro vinavyopatikana katika Bahari ya Hindi leo Jumapili wameelekea katiak masanduku ya kupigia kura kuwachagua wawakilishi wa bunge la taifa huku aghalabu ya vyama vya upinzani vikitangaza kususia uchaguzi. Vimesema kuwa uchaguzi wa bunge wa leo hauko wazi.
-
Kiongozi wa RSF Sudan akiri kupoteza makao makuu ya jimbo la Al-Jazira
Jan 12, 2025 07:46Kiongozi wa wanamgambo wa Sudan Mohamed Hamdan Daglo amesema kuwa, kikosi chake cha RSF kimepoteza makaoa makuu ya jimbo muhimu la Al-Jazira, Wad Madani ambayo yamedhibitiwa na jeshi la Suudan.
-
Algeria: Matukio ya Gaza ni doa katika paji la uso wa ubinadamu
Jan 12, 2025 04:28Mwakilishi wa Bunge la Algeria ameyataja matukio yanayojiri Ukanda wa Gaza kuwa ni doa katika paji la uso wa ubinadamu.
-
Rais wa Somalia aitembelea Ethiopia kwa mara ya kwanza tangu kupatiwa ufumbuzi mzozo wa nchi mbili
Jan 12, 2025 04:27Ethiopia na Somalia zimekubali kurejesha na kuimarisha uhusiano wa nchi mbili kupitia uwakilishi kamili wa kidiplomasia katika miji mikuu yao. Mataifa hayo mawili yalieleza haya katika taarifa ya pamoja jana Jumamosi.
-
Jeshi lateka mji muhimu katikati mwa Sudan
Jan 11, 2025 23:30Jeshi la Sudan (SAF) jana Jumamosi liliuteka tena mji wa Wad Madani, makao makuu ya Jimbo la Gezira la katikati mwa Sudan, kutoka kwa Vikosi vya Msaada wa Haraka (RSF).
-
Polisi: Magaidi wameua watu 21 kaskazini magharibi mwa Nigeria
Jan 11, 2025 09:46Jeshi la Polisi la Nigeria limesema katika taarifa yake ya karibuni kabisa kwamba takriban watu 21 wameuawa katika shambulizi la kigaidi lililotokea kaskazini magharibi mwa nchi hiyo ya magharibi mwa Afrika.
-
UN: Watoto milioni 3.2 wa Sudan walio chini ya miaka 5 watakumbwa na utapiamlo 2025
Jan 11, 2025 09:45Mfuko wa Kuhudumia Watoto wa Umoja wa Mataifa la (UNICEF) umetoa tahadhari kali kuhusu mgogoro wa kibinadamu nchini Sudan iliyoathiriwa vibaya na vita vya uchu wa madaraka baina ya majenerali wa kijeshi na kuonya kuwa kuna hatari mamilioni ya watoto wa Sudan wakakumbwa na utapiamlo mwaka huu wa 2025.
-
UN: Mapigano DRC yasababisha makumi ya maelfu ya watu kuhama makazi yao tangu mwanzoni mwa 2025
Jan 11, 2025 09:45Mratibu wa Umoja wa Mataifa wa masuala ya kibinadamu huko Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ameelezea wasiwasi wake mkubwa kutokana na idadi kubwa ya watu wanaokimbia makazi yao katika jimbo la Kivu Kaskazini kutokana na mapigano makali kati ya jeshi na waasi.
-
Ndege ndogo yaanguka barabarani na kuua watu watatu Malindi, Kenya
Jan 11, 2025 03:07Watu watatu wamefariki dunia kufuatia ajali ya kuanguka ndege ndogo katika kijiji cha Kwachocha huko Malindi kaunti ya Kilifi nchini Kenya.