-
Juhudi za uokoaji zinaendelea Ethiopia baada ya kuathiriwa na tetemeko la ardhi
Jan 05, 2025 04:28Zeozi la kuwahamisha watu linaendelea huko Abomsa katikati mwa Ethiopia kufautia tetemeko la ardhi lililokuwa na ukubwa wa 5.8 kwa kipimo cha rishta kulikumba eneo hilo.
-
Askofu Mkuu wa Ghana: Taswira ya Iran inaheshimiwa miongoni mwa Wakristo
Jan 05, 2025 04:23John Bonaventure Kwofie, Askofu Mkuu wa Ghana na Kiongozi wa Wakatoliki wa nchi hiyo ameeleza kuwa taswira ya Iran inaheshimiika na kuaminika miongoni mwa waumini wa Kikristo.
-
Ukanda wa Afrika Mashariki kukumbwa na ukame
Jan 05, 2025 00:05Eneo la Afrika Mashariki linatarajiwa kukumbwa na ukame mkubwa katika miezi iijayo. Kituo cha Utabiri wa Hali ya Hewa cha Nchi za Jumuiya ya IGAD, kinasema kuwa eneo la Afrika Mashariki litapata hali ya ukame kuliko kawaida kati mwezi wa Januari na Machi 2025.
-
Madaktari Afrika Kusini wataka kukomeshwa mashambulizi ya Israel dhidi ya Hospitali za Gaza
Jan 05, 2025 00:04Wafanyakazi wa sekta ya tiba katika mji wa Cape Town nchini Afrika Kusini wametoa mwito wa kukomeshwa mashambulizi ya utawala haramu wa Israel dhidi ya Hospitali za Gaza huko Palestina.
-
Waziri wa Mambo ya Nje wa China kutembelea nchi Afrika
Jan 04, 2025 09:57Waziri wa Mambo ya Nje wa China Wang Yi atatembelea nchi kadhaa za Afrika huku Beijing ikiwa mbioni kujiimarisha katika bara hilo pamoja na kuwepo ushindani mkubwa kutoka madola ya Magharibi.
-
Kenya yandelea kuchunguza chuma iliyodondoka kutoka anga za juu
Jan 04, 2025 09:47Shirika la Anga za Juu la Kenya linaendelea kuchunguza chuma kubwa yenye muundo wa pete kudondoka katika eneo la mashariki mwa nchi hiyo mapema wiki hii.
-
Ghana yafuta viza ya kuingia nchini humo kwa wenye pasi za kusafiria za Afrika
Jan 04, 2025 03:53Rais wa Ghana anayeondoka madarakani, Nana Akufo-Addo, ametangaza kuondoa viza ya kuingia nchini humo kwa wale wote wenye pasi za kusafria za Afrika.
-
UN: Mashambulizi dhidi ya wafanyakazi wa misaada yameongezeka nchini Somalia
Jan 03, 2025 23:27Shirika la moja la misaada ya kibinadamu la Umoja wa Mataifa limeelezea wasiwasi wake kutokana na kuongezeka mashambulizi dhidi ya wafanyakazi wanaosambaza misaada ya kibinadamu nchini Somalia. Mashambulizi hayo yaliongezeka katika robo ya nne ya mwaka ulioisha wa 2024.
-
Mripuko wa volkano walikumba eneo la Afar la katikati mwa Ethiopia
Jan 03, 2025 23:25Mripuko wa volcano umepiga katikati mwa Ethiopia katika Mlima Dofan, eneo ambalo hivi karibuni limekuwa na mitetemeko midogo midogo na ya mara kwa mara ya ardhi. Hayo ni kwa mujibu wa ripoti za jana Ijumaa za vyombo vya habari vya ndani ndani ya Ethiopia.
-
Ethiopia na Somalia zakubaliana kushirikiana katika kudumisha amani
Jan 03, 2025 08:33Ethiopia na Somalia zimekubaliana kufanya kazi pamoja katika kikosi cha kulinda amani cha Umoja wa Afrika nchini Somalia (AUSSOOM).