-
Putin: Russia itaendelea kutoa misaada kwa nchi za Afrika katika nyanja mbalimbali
Nov 10, 2024 08:47Rais Vladmir Putin wa Russia amesema nchi yake itaendelea kutoa msaada kwa nchi za Afrika katika nyanja mbalimbali, yakiwemo mapambano dhidi ya ugaidi.
-
Somalia yasema Ethiopia haitaruhusiwa kuchangia askari wa kikosi kipya cha AU
Nov 10, 2024 07:30Somalia imesisitiza kwamba Ethiopia haitakuwa sehemu ya ujumbe mpya wa kulinda amani wa Umoja wa Afrika nchini humo, huku mataifa hayo mawili yakisalia katika mzozo ambao umesababisha mtikisiko katika Pembe ya Afrika.
-
Mgonjwa 'wa mwisho' wa Marburg Rwanda aruhusiwa kuondoka hospitalini
Nov 10, 2024 03:21Shirika la Afya Duniani (WHO) limesema zaidi ya mwezi mmoja baada ya Rwanda kutangaza mripuko wa ugonjwa wa virusi vya Marburg, hatimaye mamlaka ya afya katika nchi hiyo ya Kiafrika imemruhusu mgonjwa wa mwisho kuondoka hospitalini.
-
Walebanon waandamana nje ya ubalozi wa Israel mjini Pretoria
Nov 10, 2024 03:20Raia wa Lebanon wanaoishi nchini Afrika Kusini wamefanya maandamano nje ya ubalozi wa Israel mjini Pretoria, wakati huu ambapo utawala wa Kizayuni unaendeleza vita na mashambulizi ya kinyama dhidi ya nchi hiyo ya Kiarabu.
-
Waziri wa Mambo ya Nje wa Sudan atoa wito wa kufanyika mazungumzo ya kukomesha vita
Nov 10, 2024 02:40Waziri wa Mambo ya Nje wa Sudan, Ali Youssef, ametoa wito wa kufanyika "mazungumzo baina ya makundi yote ya Wasudani ambayo yatashirikisha mirengo yote ya kisiasa ili kumaliza vita vya ndani."
-
Waziri Kombo: Tanzania kuendelea kuongeza fursa za lugha ya Kiswahili
Nov 10, 2024 00:12Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mahmoud Thabit Kombo amesisitiza kuwa Wizara yake itaendeleza jitihada za kutafuta fursa za Lugha ya Kiswahili duniani kupitia Balozi zake nje.
-
Wanaharakati: Itakuwa bora iwapo Trump atapuuza nchi za Afrika
Nov 10, 2024 00:06Wanaharakati Afrika wamesema sera ya mambo ya nje ya Marekani haina faida kwa bara la Afrika na wala haileti maendeleo katika bara hilo na hivyo iwapo rais mteule wa Marekani Donald Trump atapuuza uhusiano na Afrika hilo litakuwa kwa maslahi ya bara hilo
-
UN: Mafuriko nchini Sudan Kusini yaathiri watu milioni 1.4
Nov 10, 2024 00:00Mafuriko makubwa nchini Sudan Kusini yameathiri takriban watu milioni 1.4, na kuwakosesha makazi wengine 379,000. Hayo ni kwa mujibu wa taarifa ya Ofisi ya Umoja wa Mataifa ya Kuratibu Masuala ya Kibinadamu (OCHA) katika nchi hiyo ya mashariki mwa Afrika
-
Baraza la Usalama lawaweka vikwazo viongozi wawili wa RSF nchini Sudan
Nov 09, 2024 09:37Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limewawekea vikwazo viongozi wawili wa Vikosi vya Msaada wa Haraka (RSF) nchini Sudan, kwa madai kwamba wanavuruga usalama wa nchi hiyo kupitia ghasia na ukiukaji wa haki za binadamu.
-
Chad inawapa hifadhi wakimbizi zaidi ya 680,000 wa Sudan
Nov 09, 2024 03:05Zaidi ya wakimbizi 680,000 wa Sudan wamepata mazingira salama nchini Chad, baada ya kulazimika kukimbia vita vinavyoendelea nchini Sudan.