-
Afrika yahimizwa kutumia teknolojia ili kukabiliana na uhamiaji haramu na mabadiliko ya tabianchi
Oct 03, 2024 22:52Rais Hakainde Hichilema wa Zambia jana Alhamisi alizitaka nchi za Kiafrika kutumia teknolojia ili kutatua changamoto za pamoja zinazolikabilibara hilo, ikiwa ni pamoja na uhamiaji haramu na mabadiliko ya hali ya hewa.
-
Boti 2 za wahamiaji zimezama katika Bahari Nyekundu kwenye pwani ya Djibouti na kuua 45
Oct 03, 2024 04:31Boti mbili zilizokuwa zimebeba wahamiaji wa Kifrika zimezama katika Bahari Nyekundu kwenye pwani ya Djibouti, na kuua watu 45. Hayo ni kwa mujibu wa taarifa ya Shirika la Uhamiaji la Umoja wa Mataifa (IOM).
-
AU na UN zafanya mazungumzo kuhusu namna ya kujazwa kikosi cha ATMIS nchini Somalia
Oct 01, 2024 23:40Wajumbe kutoka Umoja wa Afrika (AU), Umoja wa Mataifa (UN), nchi zinazochangia wanajeshi wa kulinda amani Somalia na washirika wa kimataifa, jana Jumanne walikamilisha ziara ya wiki moja nchini Somalia iliyolenga kutathmini hali ya mambo na kuangalia nani wa kujaza nafasi ya kikosi cha kulinda amani cha ATMIS nchini humo.
-
Sheikh Zakzaki: Kicheko cha adui Mzayuni hakitodumu muda mrefu
Oct 01, 2024 22:48Sheikh Ibrahim Zakzaki, Mkuu wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria amegusia jinsi utawala wa Kizayuni ulivyomuua kigaidi Sayyid Hassan Nasrullah, Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon na kusema kuwa, maadui wamefanya sherehe kufuatia jinai hiyo ya kigaidi kama walivyofanya sherehe waliomuua Imam Husain AS huko Karbala, lakini vicheko vyao havitodumu muda mrefu.
-
WHO yaonya kuhusu ongezeko la wagonjwa wa homa ya malaria nchini Ethiopia
Oct 01, 2024 22:44Shirika la Afya Dunian (WHO) limeonya kuhusu hatari kubwa ya kuongezeka ugonjwa wa homa ya malaria nchini Ethiopia.
-
UN: Wahamiaji wa Kiafrika na wakimbizi wanaendelea kutafuta njia za kuelekea Ulaya
Oct 01, 2024 10:14Umoja wa Mataifa umesema kuwa, tangu mwanzoni mwa mwaka huu hadi hivi sasa, umesajili zaidi ya wakimbizi 350,000 wa Sudan na watu wanaotafuta hifadhi maeneo ya Afrika Kaskazini, huku wahamiaji 97,000 wakiiingia Libya tangu mwezi Aprili mwaka jana.
-
Mvua kubwa na maporomoko ya udongo yasababisha vifo vya watu 37 kaskazini mwa Ethiopia
Oct 01, 2024 02:51Karibu watu 37 wamepoteza maisha kutokana na mvua kubwa inayoendelea kunyesha kaskazini mwa Ethiopia, ambapo maporomoko ya ardhi na mafuriko yameharibu maeneo mengi ya ukanda huo.
-
Ramaphosa: Afrika Kusini kutoa kipaumbele kwa mahitaji na matarajio ya Afrika
Oct 01, 2024 02:51Rais Cyril Ramaphosa wa Afrika Kusini amesema kuwa nchi yake itakapochukua uwenyekiti wa kundi la G-20 baadaye mwaka huu, nchi hiyo itatoa kipaumbelea kwa mahitaji nan matarajio ya Afrika na Ulimwengu wa Kusini.
-
Burkina Faso: Madola ajinabi yanawazidishia matatizo kwa makusudi watu wa Sahel
Oct 01, 2024 02:51Waziri wa Mambo ya Nje wa Burkina Faso jana alihutubia katika majadiliano ya ngazi ya juu katika Mkutano wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa mjini New York na kusema nchi yake inaendelea kupambana na makundi ya kigaidi kaskazini mashariki mwa nchi hiyo yanayoyumbisha hali ya usalama nchini humo.
-
Rwanda yadhibiti idadi ya wanaohudhuria mazishi baada ya mlipuko wa virusi vya Marburg
Sep 30, 2024 22:49Serikali ya Rwanda imetangaza kuwa, inatekeleza mpango wa kudhibiti idadi ya watu wanaohudhuria mazishi ya waathiriwa wa virusi vya Marburg katika juhudi za kukabiliana na mlipuko wa ugonjwa huo unaoambukiza kwa kasi.