-
Khartoum yakataa kikosi cha Umoja wa Mataifa kutumwa Sudan
Sep 09, 2024 00:31Serikali ya Sudan imekataa wito wa Umoja wa Mataifa wa kutumwa "kikosi huru kisichoegemea upande wowote" kuwalinda mamilioni ya raia waliolazimika kuyakimbia makaazi yao kutokana na vita vinavyoendelea kwa zaidi ya mwaka mmoja sasa.
-
Kampeni ya chanjo ya MPOX kuanza mwezi ujao DRC
Sep 08, 2024 23:23Kampeni ya chanjo dhidi ya homa ya Mpox katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo itaanza inatarajiwa kuanza Oktoba 2.
-
Matukio ya mikasa ya moto mashuleni Kenya yapelekea kutolewa miito ya kuimarishwa usalama
Sep 08, 2024 23:23Nchini Kenya matukio ya mikasa ya moto katika shule za bweni yameibua miito ya kuchukuliwa hatua za kuimarishwa usalama katika shule za nchi hiyo.
-
Sudan yapinga ripoti ya Umoja wa Mataifa, yasema ni ya kisiasa
Sep 08, 2024 08:33Sudan imekadhibisha ripoti mpya ya Jopo Huru la Umoja wa Mataifa la Kutafuta Ukweli, ambayo inazituhumu pande zinazozozana nchini humo kwa kufanya ukiukaji mkubwa wa haki za binadamu ambao unaweza kuwa uhalifu wa kivita.
-
Tebboune atazamiwa kushinda uchaguzi wa rais Algeria
Sep 08, 2024 03:23Shughuli ya kuhesabu kura inaendelea baada ya uchaguzi wa rais wa Algeria hapo jana ambapo rais aliyeko madarakani Abdelmadjid Tebboune anatarajiwa kushinda muhula wa pili.
-
Watu wasiojulikana wajaribu kumuua kwa sumu Waziri wa Sheria wa DR Congo
Sep 08, 2024 03:03Watu wasiojulikana wamejaribu kumuua kwa sumu Waziri wa Sheria na Mlinzi wa Mihuri nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), Constant Mutamba.
-
Wachunguzi wa haki za binadamu wataka vikwazo vya silaha dhidi ya Sudan viongezwe
Sep 07, 2024 07:33Ujumbe Huru wa Kimataifa wa Umoja wa Mataifa wa kutafuta ukweli nchini Sudan, umetoa wito wa kuwekwa vikwazo vya silaha kote nchini Sudan kutokana na kukithiri vitendo vya kikatili zikiwemo hujuma za kutisha za kingono.
-
Kenya yatangaza siku tatu za maombolezo baada ya wanafunzi 17 kufa kwa moto
Sep 07, 2024 03:49Rais wa Kenya William Ruto ametangaza siku tatu za maombolezo ya kitaifa kuanzia Jumatatu baada ya watoto 17 wa shule ya msingi kufa kwa kuungua moto wakiwa bwenini, kwenye shule ya msingi ya Hillside Endarasha iliyoko kaunti ya Nyeri.
-
Wananchi wa Algeria wanapiga kura leo katika uchaguzi wa rais
Sep 07, 2024 03:46Wananchi wa Algeria waliotimiza masharti ya kupiga kura leo wanaelekea katika masanduku ya kupigia kura kwa ajili ya kumchagua Rais.
-
Watoto waandamana Nigeria kuwaunga mkono watoto wa Gaza
Sep 06, 2024 23:20Watoto wa Nigeria wamekusanyika katika maeneo mbalimbali ya jimbo la Bauchi na kupiga nara za kuwaunga mkono watoto wa Kipalestina, hasa wale wanaoishi katika Ukanda wa Gaza.