-
Mzee wa miaka 75 jela miaka 20 kwa mauaji ya kimbari Rwanda
Sep 06, 2024 23:19Mzee mmoja wa miaka 75 amehukumiwa kifungo cha miaka 20 jela nchini Rwanda baada ya kupatikana na hatia ya kuhusika na mauaji ya kimbari.
-
Janga la moto laua wanafunzi 17 Kenya, Rais Ruto aagiza uchunguzi ufanywe haraka
Sep 06, 2024 05:17Rais Willam Ruto wa Kenya ametoa amri ya kufanyika uchunguzi haraka iwezekanavyo kuhusiana na tukio la moto lililotokea katika Skuli ya Msingi ya Endrasha katika Kaunti ya Nyeri na kusababisha wanafunzi 17 kupoteza maisha na wengine 14 kujeruhiwa vibaya.
-
Umoja wa Mataifa: Mafuriko yamewaathiri watu 710,000 Sudan Kusini
Sep 06, 2024 05:16Shirika la misaada ya kibinadamu la Umoja wa Mataifa (OCHA) limesema kuwa, mafuriko yanayoendelea Sudan Kusini yameshaathiri zaidi ya watu 710,000 katika kaunti 30 kati ya 78 za nchi hiyo.
-
DRC yapokea shehena ya kwanza ya chanjo ya mpox ili kuzuia kuenea
Sep 06, 2024 03:58Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) imepokea shehena yake ya kwanza ya chanjo ya mpox kusaidia kuzuia kuenea kwa ugonjwa huo nchini humo.
-
Niger yawakamata mamia ya magaidi huku operesheni za usalama zikiendelea
Sep 06, 2024 03:55Mamlaka nchini Niger imewakamata takriban watu 245 wanaoshukiwa kuwa ni magaidi katika operesheni zinazoendelea za kukabiliana na ugaidi, uhalifu na uasi.
-
Mwanariadha wa Uganda auawa kwa kuchomwa moto
Sep 05, 2024 09:14Madaktari na maafisa wa riadha wametangaza kuwa, mwanariadha wa Uganda Rebecca Cheptegei, aliyeshiriki katika michezo ya Olimpiki nchini Ufaransa amefariki dunia nchini Kenya leo.
-
Burkina Faso yatoa pasipoti mpya bila ya nembo ya ECOWAS
Sep 05, 2024 05:43Utawala wa kijeshi nchini Burkina Faso jana Jumatano ulitoa pasi mpya za kusafiri za kibayometriki bila ya kuwemo nembo yoyote ya Jumuiya ya Kiuchumi ya Afrika Magharibi (ECOWAS).
-
Rais Xi wa China aahidi ajira milioni moja kwa bara Afrika
Sep 05, 2024 04:57Rais wa China Xi Jinping ameahidi kuunda nafasi za kazi zaidi ya milioni moja barani Afrika huku akijaribu kuiweka Beijing kama mshirika bora wa maendeleo kwa nchi za Eneo la Kusini mwa Dunia.
-
Mvua na mafuriko yabomoa Msikiti mkongwe zaidi Niger
Sep 05, 2024 02:33Maafa ya mvua na mafuriko yanaendelea kushuhudiwa katika maeneo mbalimbali za magharibi mwa Afrika na kusababisha maafa makubwa ikiwa ni pamoja na kubomoa Msikiti mkongwe zaidi nchini Niger.
-
Majaliwa: Tanzania inazidi kuimarika katika upande wa kidiplomasia
Sep 05, 2024 02:24Waziri Mkuu wa Tanzania amesema kuwa, nchi hiyo inazidi kustawi kote duniani kufuatia hatua ya hivi karibuni ya kuchaguliwa raia wa nchi hiyo, Faustine Engelbert Ndugulile, kuwa, Mkurugenzi wa Shirika la Afya Duniani (WHO) kanda ya Afrika.