-
Kundi la kigaidi latangaza kuhusika na mauaji ya mamia ya watu Burkina Faso
Aug 26, 2024 09:49Kundi la kigaidi lenye uhusiano na mtandao wa Al Qaeda, limekiri kuhusika na shambulio lililofanyika mwishoni mwa wiki lililopita ambalo limeua watu zaidi ya 200 katikati mwa Burkina Faso.
-
Bwawa laporomoka na kuua watu zaidi ya 60 nchini Sudan
Aug 26, 2024 07:34Kwa akali watu 60 wameripotiwa kufariki dunia baada ya bwawa moja kuvunjika huko mashariki mwa Sudan kutokana na mvua kubwa inayoendelea kunyesha nchini humo.
-
Mapigano yaibuka tena kati ya jeshi la DRC na waasi wa M23
Aug 26, 2024 04:24Mapigano mapya yanaripotiwa kuibuka kati ya jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo na waasi wa M23.
-
Mazungumzo ya kusitisha vita Gaza yamalizika bila natija mjini Cairo
Aug 26, 2024 04:23Mazungumzo ya kusitisha mapigano huko Gaza kwa upatanishi wa Misri, Qatar na Marekani yamemalizika bila natija huuko Cairo na ujumbe wa Hamas umeondoka katika mji mkuu huo wa Misri.
-
Rais wa Tunisia afanya mabadiliko makubwa katika baraza la mawaziri
Aug 26, 2024 04:22Rais Kais Saied wa Tunisia amefanya mabadiliko katika serikali yake kwa kubadilisha mawaziri wengi, akiwemo wa wizara ya mambo ya nje na ulinzi.
-
OIC yasikitishwa na mafuriko yaliyoua mamia ya watu katika nchi kadhaa za Afrika
Aug 25, 2024 22:59Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) imetangaza mshikamano na serikali na wananchi wa Burkina Faso, Mali, Niger, Nigeria, na Chad ambao wameathiriwa na mafuriko makubwa tangu Agosti 16.
-
Wanaharakati waitaka Afrika Kusini iiwekee Israel vikwazo vya biashara
Aug 25, 2024 22:59Wanaharakati wameitaka Afrika Kusini iuwekee utawala wa Kizayuni wa Israel vikwazo vya kibiashara na kusimamisha mara moja mauzo ya nje ya bidhaa zake kwa utawala huo pandikizi.
-
Umoja wa Mataifa waonya kuhusu hatari kubwa ya mafuriko nchini Somalia
Aug 25, 2024 22:59Shirika moja la Umoja wa Mataifa limeonya kuhusu hatari kubwa ya mafuriko nchini Somalia na kusema kuwa, jamii kadhaa nchini humo ziko hatarini kukumbwa na mafuriko huku mito ikiendelea kujaa maji katikati mwa nchi hiyo ya Pembe ya Afrika.
-
Mali yasimamisha matangazo ya televisheni ya LCI ya Ufaransa kwa upotoshaji
Aug 25, 2024 11:29Serikali ya kijeshi ya Mali imepiga marufuku kanali ya televisheni ya Ufaransa ya LCI kurusha matangazo yake kwa muda wa miezi miwili kutokana na kile kilichotajwa kuwa upotoshaji kuhusu hali ya usalama wa nchi hiyo ya Afrika Magharibi.
-
Africa CDC yaonya juu ya kuongezeka kesi za mpox, kiwango cha juu cha vifo na uchunguzi mdogo
Aug 25, 2024 06:57Kituo cha Afrika cha Kudhibiti na Kuzuia Magonjwa (Africa CDC) kimeonya juu ya kuzuka mzigo mkubwa wa kesi za mpox, uwezo mdogo wa uchunguzi na kiwango cha juu cha vifo vya ugonjwa huo kama baadhi ya changamoto zinazokwamisha jitihada za kukabiliana na mpox hazitoshughulikiwa haraka.