-
Wahajiri wa Kiafrika waaga dunia kwa baridi mpaka wa Morocco, Algeria
Dec 15, 2025 07:31Wahamiaji tisa wa Kiafrika wamepoteza maisha kutokana na baridi kali karibu na mpaka wa Morocco na Algeria.
-
Zaidi ya watu 500,000 wamekimbia makazi yao katika wiki 2 za mapigano DRC
Dec 15, 2025 03:25Zaidi ya watu 500,000, wakiwemo zaidi ya watoto 100,000, wamekimbia makazi yao tangu Desemba 1 kutokana na mapigano makali katika mkoa wa Kivu Kusini wa mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC). Hayo yalitangazwa jana Jumapili na Shirika la Kuhudumia Watoto la Umoja wa Mataifa (UNICEF).
-
Maandamano ya fujo yanaendelea nchini Tunisia
Dec 15, 2025 03:23Mamia ya watu nchini Tunisia wameendelea kufanya maandamano yaliyoitishwa na vyama vya upinzani na mashirika ya kisheria. Maandamano hayo yanaendelea kwa wiki ya nne mfululizo kwenye mitaa ya mji mkuu Tunis.
-
Umoja wa Mataifa: Tanzania ni rejea ya amani Afrika na duniani kote
Dec 14, 2025 23:17Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amesema kuwa, Tanzania imekuwa ni rejea muhimu ya amani na mshikamano wa kijamii barani Afrika na duniani kote.
-
Iran: Mvutano Yemen unanufaisha mkakati wa Israel wa kuvuruga Asia Magharibi
Dec 14, 2025 06:30Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran imetoa tahadhari kali kuhusu mvutano unaoendelea nchini Yemen, ikisema hali hiyo inaunufaisha tu utawala wa Israel na mkakati wake wa kuzigawa nchi za Asia Magharibi au Mashariki ya Kati.
-
Machafuko ya baada ya uchaguzi Cameroon: Waandamanaji wafungwa jela, wengine waachiwa huru
Dec 14, 2025 06:14Mgogoro wa kisiasa unaendelea kuikumba Cameroon wiki chache tu baada ya nchi hiyo ya Afrika Magharibi kufanya uchaguzi wa rais.
-
Mkutano wa ECOWAS wafanyika Abuja, Guinea-Bissau na Benin katika ajenda
Dec 14, 2025 06:08Mkutano wa kilele wa Jumuiya ya Kiuchumi ya Nchi za Afrika Magharibi (ECOWAS) umeanza rasmi Jumapili mjini Abuja, Nigeria, ukikusanya viongozi wa kikanda kujadili masuala nyeti yanayoathiri eneo la Afrika Magharibi.
-
Taasisi za Kiislamu zaonya kuhusu njama ya Marekani dhidi ya Nigeria
Dec 14, 2025 03:39Taasisi za Kiislamu nchini Nigeria zimetangaza kuwa, hatua ya tume ya kutafuta ukweli ya bunge la Marekani ya kuandaa ripoti ya upande mmoja kuhusu mizozo ya kikabila katika nchi hiyo ya Kiafrika ni ya kuzusha mifarakano.
-
UN yalaani shambulio lililoua askari 6 wa kulinda amani Sudan
Dec 13, 2025 23:06Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Antonio Guterres ameeleza kusikitishwa na shambulio la ndege isiyo na rubani lililolenga kituo cha Umoja wa Mataifa nchini Sudan, na kuwaua askari sita wa kulinda amani wa umoja huo.
-
Captain Ibrahim Traoré: Burkina Faso imekuwa mfano wa kuigwa na mataifa ya bara la Afrika
Dec 13, 2025 22:39Rais wa Burkina Faso, Kapteni Ibrahim Traoré, amepongeza mafanikio liliyopata jeshi hivi karibuni ya kukomboa maeneo kadhaa na kusisitiza kwamba, nchi hiyo sasa imekuwa kigezo na mfano kwa mataifa ya bara la Afrika.