-
Jeshi la Sudan ladai kudhibiti barabara kuu inayounganisha Khartoum na El-Obeid
Jul 28, 2026 03:47Jeshi la Sudan limetangaza kuwa limerejesha udhibiti kamili wa barabara kuu inayounganisha mji mkuu wa nchi hiyo Khartoum, na El-Obeid, mji ambao umekuwa ukizingirwa na kundi la wanamgambo Rapid Support Forces (RSF).
-
Maambukizi ya Ebola DRC yazidi kuongezeka, yapindukia visa 3,000
Jul 27, 2026 09:47Maambukizi ya virusi vya Ebola yanaendelea kuongezeka kwa kasi katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo.
-
Jeshi la Sudan lasonga mbele kaskazini mwa Kordofan na kukomboa maeneo kadhaa
Jul 27, 2026 09:32Jeshi la Sudan limetangaza kuendelea kusonga mbele katika jimbo la Kordofan Kaskazini, likisema kuwa limeudhibiti mji wa Barah pamoja na miji mingine kadhaa baada ya operesheni za kijeshi dhidi ya vikosi pinzani.
-
UN: Wanawake wa Sudan wanakabiliwa na mashambulizi wakitafuta maji
Jul 27, 2026 03:50Shirika la Umoja wa Mataifa la Wanawake (UN Women) limetangaza kwamba wanawake na wasichana katika eneo la al-Obeid nchini Sudan wanakabiliwa na mashambulizi ya ndege zisizo na rubani na ukatili wa kingono wanapokuwa katika jitihada za kupata maji huku hali ya kibinadamu ikizidi kuwa mbaya.
-
Rais wa Senegal azindua chama chake cha kisiasa baada ya kutengana na mshirika wake wa zamani, Sonko
Jul 26, 2026 13:09Rais wa Senegal azindua chama chake cha kisiasa baada ya kutengana na mshirika wake wa zamani, Sonko
-
Wakulima 26 wazikwa baada ya shambulio la majambazi kaskazini-magharibi mwa Nigeria
Jul 25, 2026 11:05Wakulima 26 waliouawa katika shambulio la majambazi katika Jimbo la Zamfara, kaskazini-magharibi mwa Nigeria, walizikwa siku ya Ijumaa.
-
Jeshi la Uingereza kufanya mazoezi Tanzania baada ya mzozo na Kenya kuhusu jinai za askari
Jul 25, 2026 03:05Uingereza imefuta zoezi kubwa la kijeshi nchini Kenya baada ya pande hizo mbili kushindwa kutatua mzozo kuhusu mamlaka ya Nairobi ya kuwafungulia mashtaka wanajeshi wa Uingereza wanaotuhumiwa kutenda uhalifu katika taifa hilo la Afrika Mashariki.
-
Maambukizi ya Ebola DRC yakaribia 3,000 huku vifo vikifikia 1,269
Jul 25, 2026 03:03Maambukizi ya virusi vya Ebola yameongezeka kwa kasi na kufikia karibu kesi 3,000 zilizothibitishwa katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), huku vifo vikizidi 1,260. Hali hii inajiri baada ya mamlaka za afya kuoanisha kanzidata za mikoa na zile za kitaifa, sambamba na kuripotiwa kwa makumi ya kesi mpya katika kitovu cha mlipuko wa virusi hivyo.
-
Waghana waiomba ICC kuchunguza ukatili wa chuki dhidi ya wageni nchini Afrika Kusini
Jul 24, 2026 02:48Raia wawili wa Ghana wamewasilisha ombi kwa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) wakiitaka kufungua uchunguzi wa awali kuhusu vitendo vya ukatili vinavyowalenga wageni nchini Afrika Kusini, wakisema kwamba muundo, ukubwa na kukaririwa mashambulizi yanayowalenga wahamiaji vinaweza kuwa uhalifu dhidi ya ubinadamu.
-
Raia 16 wauawa katika shambulio jipya la waasi mashariki mwa Kongo
Jul 24, 2026 02:45Rais wasiopungua 16, wakiwemo wachimbaji madini, wameuawa katika shambulio la hivi karibuni la waasi wanaoshukiwa kuwa wa kundi la Allied Democratic Forces (ADF) katika kijiji kimoja mkoani Ituri, mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.