-
Sisitizo la Kiongozi Muadhamu la kutotosheka na mafanikio ya sasa ya kisayansi nchini Iran
Aug 08, 2019 03:17Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Khamenei Jumatano asubuhi alikutana na vijana kadhaa wasomi bingwa wenye vipaji ambao wamepata medali katika Olimpiadi za kimataifa za sayansi na pia vijana wa timu ya taifa ya voliboli (mpira wa wavu) ya Iran ambao wamefika katika kilele cha mchezo huo duniani. Katika kikao hicho, aliwapongeza vijana hao kutokana na uhodari, umahiri na busara yao na kusistiza kuwa, njia hiyo ya utaalamu bingwa haipaswi kuwa na kikomo.
-
Kamanda wa IRGC: Majeshi ya Iran yatatoa jibu kali kwa hujuma yoyote ya adui
Aug 07, 2019 23:01Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) amesema: "Majeshi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran yako tayari kulinda mipaka ya nchi na hujuma yoyote tarajiwa ya adui itakabiliwa na jibu kali."
-
Rwanda na DRC kushirikiana katika kukabiliana na Ebola
Aug 07, 2019 07:02Serikali za Rwanda na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo zimeazimia kushirikiana katika kukabiliana na ugonjwa hatari wa Ebola.
-
Kiongozi Muadhamu: Vijana wasomi Wairani wanapaswa kupanua mipaka ya elimu na teknolojia
Aug 07, 2019 06:58Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema: "Ustawi wa sayansi zenye faida kwa Iran ni jambo linalowezekana na ustawi huo unapaswa kuwa kwa msingi mtazamo wa kimapinduzi na fikra za Kiislamu."
-
Rouhani: Marekani imepoteza matumaini ya kuvunja uhuru wa taifa la Iran
Aug 07, 2019 06:25Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema Marekani imepoteza matumaini ya kuvunja na kusambaratisha uhuru wa taifa la Iran.
-
Zarif: Sera za kutumia mabavu zinatoweka duniani
Aug 07, 2019 03:51Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, sera za kuwafuta wengine, kukwepa sheria, kujichukulia maamuzi ya upande mmoja na kufadhilisha maslahi ya kundi moja dhidi ya malahi ya wengine na kuwa tegemezi zimo katika hali ya kutoweka na kuyoyoma.
-
Vikwazo, gharama ya "hapana" ya Dakta Zarif kwa Marekani
Aug 06, 2019 20:47Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameashiria safari yake ya mwezi uliopita huko mjini New York na kusema kuwa, "niliambiwa nitawekewa vikwazo katika kipindi cha wiki mbili zijazo isipokuwa kama nitakubali kukutana na Rais Donald Trump wa Marekani."
-
Rais Rouhani: IRGC na Waziri wa Mambo ya Nje wamekuwa vipenzi zaidi duniani kwa kuwekewa vikwazo na Marekani
Aug 06, 2019 03:35Rais Hassan Rouhani amesema, kuwekewa vikwazo na Marekani Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu pamoja na Waziri wa Mambo ya Nje kumekuwa sababu ya kuongezeka nguvu na mapenzi juu yao katika eneo na duniani kote.
-
Iran na Qatar zasaini hati ya maelewano ya ushirikiano wa ulinzi wa mpakani
Aug 06, 2019 03:13Kamanda wa kikosi cha walinzi wa mpakani cha jeshi la Polisi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na kamanda wa gadi ya pwani ya Qatar wamesaini hati ya ushirikiano wa ulinzi wa mpakani.
-
Larijani: Zarif ni nembo ya uchapakazi na diplomasia makini ya Iran
Aug 05, 2019 22:06Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran (Bunge) amemtaja Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kuwa ni nembo ya uchapakazi na diplomasia makini ya Iran.