-
Larijani: Mashambulizi yaliyojaa utata dhidi ya meli za mafuta Bahari ya Oman ni ukamilishaji wa vikwazo dhidi ya Iran
Jun 16, 2019 07:57Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) amesema kuwa, Marekani hivi sasa imesakamwa na kipengee cha kisiasa cha kutoona haya na kukosa heshima ambacho kinaifanya isizingatie matokeo ya matamshi yake.
-
Rais Rouhani: Iran inataka uhusiano wake na Qatar uimarike kwa kiwango cha juu sana
Jun 15, 2019 21:49Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa utulivu na usalama ni vitu vilivyoshikamana barabara na kusisitiza kuwa Tehran inataka utawale moyo wa udugu, misimamo ya wastani, hekima na muono wa mbali katika uhusiano wa nchi za Asia Magharibi.
-
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi: Trump si mtu wa kubadilishana naye jumbe
Jun 14, 2019 23:50Akiwa katika siku ya pili ya safari yake hapa nchini, Abe Shinzo (Shinzo Abe) Waziri Mkuu wa Japan siku ya Jumatano asubuhi alikutana na kuzungumza na Ayatullah Khameneii, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran.
-
Rais Rouhani: Marekani ni tishio kuu kwa uthabiti wa dunia
Jun 14, 2019 09:07Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema utawala wa Rais Donald Trump wa Marekani ni tishio kubwa kwa usalama na uthabiti wa nchi za eneo la Asia Magharibi na duniani kote kwa ujumla.
-
Ayatullah Khatami: Taifa la Iran halitafanya mazungumzo kutokana na mashinikizo
Jun 14, 2019 08:33Hatibu wa Swala ya Ijumaa ya leo mjini Tehran amesema kuwa kufanya mazungumzo na Marekani hakuna faida yoyote, na taifa la Iran kamwe halitafanya mazungumzo chini ya mashinikizo ya kiuchumi.
-
Iran yakanusha madai ya Marekani kuhusu kushambuliwa meli za mafuta Bahari ya Oman
Jun 14, 2019 02:59Ofisi ya Mwakilishi wa Kudumu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Umoja wa Mataifa mapema leo asubuhi amekanusha vikali madai yasiyo na msingi ya Marekani kuhusu shambulio dhidi ya meli za mafuta katika Bahari ya Oman.
-
Kiongozi Muadhamu: Trump hana ustahiki wa kupewa ujumbe, hatufanyi mazungumzo na Marekani
Jun 13, 2019 07:35Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema: "Jamhuri ya Kiislamu ya Iran haiiamini Marekani hata kidogo na uzoefu mchungu wa mazungumzo yaliyotangulia na Marekani katika fremu ya JCPOA kamwe hayatarudiwa tena kwani hakuna taifa lolote lililo huru na lenye akili litakalokubali kufanya mazungumzo chini ya mashinikizo."
-
Mazungumzo ya Waziri Mkuu wa Japan mjini Tehran, sisitizo la kuimarisha uhusiano wa kisiasa na kiuchumi
Jun 13, 2019 03:37Shinzo Abe Waziri Mkuu wa Japan jana alasiri aliwaili hapa Tehran akiongoza ujumbe wa ngazi ya juu wa nchi yake.
-
Japan: Mazungumzo ya Abe Shinzō na Rais Hassan Rouhani, yalikuwa chanya
Jun 13, 2019 02:35Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Japan ameyataja mazungumzo ya Rais Hassan Rouhani wa Iran na Waziri Mkuu wa nchi hiyo Abe Shinzō kuwa yalikuwa chanya na yenye faida.
-
Rouhani: Iran inakaribisha suala la kuimarisha uhusiano na Japan
Jun 12, 2019 23:38Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa hamu iliyodhihirishwa na Japan ya kutaka kuwekeza katika maeneo ya kusini mwa Iran inadhamini suala la kustawisha uhusiano kati ya nchi mbili.