-
Waziri Mkuu wa Japan afanya ziara ya kihistoria nchini Iran + Video
Jun 12, 2019 11:16Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran leo jioni amempokea rasmi Waziri Mkuu wa Japan Shinzo Abe aliyepo hapa nchini kwa ziara rasmi ya kihistoria ya siku mbili. Mapokezi hayo rasmi yamefanyika katika Ikulu ya Sa'dabad hapa Tehran.
-
Safari ya Waziri Mkuu wa Japan nchini Iran
Jun 12, 2019 07:53Wiki hii iliyosheheni safari za wanadiplomasia wa ngazi za juu mjini Tehran, macho yote yamejikita zaidi kwenye safari ya Abe Shinzo, Waziri Mkuu Mkuu wa Japan nchini Iran. Abe amewasili leo mjini Tehran kwa safari rasmi ya siku mbili kwa lengo la kukutana na kufanya mazungmzo na viongozi wa ngazi za juu wa Iran.
-
Iran inaongoza katika vita dhidi ya mihadarati duniani
Jun 11, 2019 23:57Katibu Mkuu wa Idara ya Kupambana na Mihadarati nchini Iran amezikosoa nchi za Ulaya kwa sababu ya kutolipa uzito suala ya kupambana na mihadarati. Aidha amesema: "Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inaongoza katika kupambana na mihadarati duniani."
-
'Vikwazo vya Marekani dhidi ya Iran vinalenga kuvuruga usalama wa eneo'
Jun 11, 2019 22:58Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema vikwazo vya Marekani dhidi ya Iran vinalenga kuvuruga usalama wa eneo zima la Asia Magharibi.
-
Kumalizika vita vya kiuchumi vya Marekani dhidi ya Iran; njia pekee ya kuhitimisha wasiwasi kuhusu kushtadi mivutano katika eneo
Jun 11, 2019 03:48Njia pekee ya kupunguza hali ya mivutano katika eneo la Asia Magharibi ni kusitishwa vita vya kiuchumi katika eneo hili.
-
Korea Kusini yaitaka Marekani iiondolee vikwazo Jamhuri ya Kiislamu ya Iran
Jun 11, 2019 00:49Waziri wa Uchumi wa Korea Kusini ameitaka serikali ya Marekani kuiondolea vikwazo Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Rais Rouhani: Kamwe Iran haitotumbukia katika mkwamo kwa sababu ya mashinikizo
Jun 10, 2019 12:49Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran sambamba na kuashiria kwamba hatua ya Marekani ya kujiondoa katika matapatano ya nyuklia ya JCPOA haikuwa na matokeo mengine ghairi ya taathira hasi kwenye mahusiano na usalama wa nchi za eneo, amesisitiza kwamba kamwe nchi hii haitotumbukia kwenye mkwamo kupitia mashhinikizo.
-
Mashauriano ya Iran na Ulaya sambamba na safari ya Waziri wa Mambo ya Nje wa Ujerumani mjini Tehran
Jun 10, 2019 07:47Waziri wa Mambo ya Nje wa Ujerumani, Heiko Josef Maas Jumatatu ya leo amekutana na kufanya mazungumzo na maafisa wa serikali ya Iran mjini Tehran.
-
Iran iko tayari kufanya mazungumzo na nchi za Ghuba ya Uajemi
Jun 10, 2019 07:00Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema: "Jamhuri ya Kiislamu ya Iran iko tayari kufanya mazungumzo na kila moja ya nchi za Kiarabu za ukanda wa Ghuba ya Uajemi kuhusu masuala ya pande mbili na kieneo."
-
Ripoti ya Bunge la Iran kuhusu ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu Marekani
Jun 10, 2019 06:52Kamati ya Usalama wa Taifa na Sera za Kigeni katika Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu, Bunge la Iran, imechapisha ripoti ya ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu nchini Marekani.