-
Iran yamshangaa Netanyahu kwa kutiwa kiwewe na safari ya Shinzo Abe nchini
Jun 10, 2019 03:30Mkuu wa Kamati ya Usalama wa Taifa na Sera za Kigeni ya Bunge la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amemkejeli na kumshangaa Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel, Benjamin Netanyahu kwa kuingiwa na kiwewe kutokana na safari tarajiwa ya Shinzo Abe, Waziri Mkuu wa Japan hapa mjini Tehran.
-
"Iran haihitajii Marekani wala haitaki kuwa na uhusiano nayo"
Jun 09, 2019 22:44Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema Jamhuri ya Kiislamu haihitajii Marekani wala haina haja ya kuwa na uhusiano na Washington.
-
Stratijia ya Iran kwa ajili ya kukabiliana na vitisho, kuimarika uwezo wa kijeshi na kiulinzi
Jun 09, 2019 22:01Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imeandaa mfumo wake wa kiulinzi kwa mujibu wa uhalisia wa vitisho, na katika uwanja huo itaendelea kuimarisha uwezo huo kwa msingi wa mahitaji yake.
-
Iran yazindua mfumo wa makombora wa Khordad 15 + Video
Jun 09, 2019 09:26Iran imezindua mfumo wa kujilinda kwa makombora uliotengenezwa kikamilifu hapa nchini unaoweza kulenga shabaha sita za adui kwa wakati mmoja.
-
Zarif: Siasa za Marekani zimezilenga nchi zote
Jun 09, 2019 03:24Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran ameashiria siasa haribifu za Marekani na kusisitiza kuwa siasa hizo si tu kuwa zinailenga Iran pekee bali zinazigusa nchi zote.
-
Harakati za Netanyahu, kuanzia madai yasiyo na msingi hadi jitihada za kisiasa zilizofeli dhidi ya Iran
Jun 08, 2019 08:19Benjamin Netanyahu Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel ambayo katika siku za karibuni amegonga mwamba kisiasa katika uga wa ndani na kimataifa, ameibuka na kutoa madai dhidi ya Iran ikiwa ni katika jitihada za kutaka kuudhihirisha kuwa mwanasiasa imara na aliye na mchango muhimu.
-
Safari ya Waziri Mkuu wa Japan Tehran itafanikiwa iwapo Marekani itaiondolea Iran vikwazo
Jun 08, 2019 07:55Msemaji wa Baraza Kuu la Usalama wa Taifa nchini Iran amesema kuhakikisha Marekani inarejea katika mapatano ya JCPOA, kufidia hasara ambazo Iran ilipata baada ya Marekani kujiondoa katika mapatano hayo na kuondolewa vikwazo dhidi ya Iran ni nukta za lazima ambazo zitadhamini mafanikio ya safari tarajiwa ya Waziri Mkuu wa Japan nchini Iran.
-
Uwezo mkubwa wa kijeshi wa Iran umemzuia adui kushambulia
Jun 08, 2019 07:42Waziri wa Ulinzi wa Iran amesema: "Uwezo mkubwa wa kujihami na kuhujumu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ni jambo ambalo limemfanya adui asithubutu kutekeleza hujuma yoyote ya kijeshi dhidi ya nchi hii."
-
Iran yakosoa vikwazo vipya vya Marekani dhidi ya sekta yake ya petrokemikali
Jun 08, 2019 02:20Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amelaani hatua ya Wizara ya Fedha ya Marekani kuliwekea vikwazo shirika moja la petrokemikali la Iran.
-
Zarif: Marekani haina haki ya kufasiri inavyotaka azimio 2231 la Baraza la Usalama la UN
Jun 07, 2019 22:03Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amejibu njama za Marekani na wenzake za kujaribu kupotosha maana ya azimio nambari 2231 la Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa na kusisitiza kuwa, Marekani na wenzake hawana ustahiki kulifasiri wanavyotaka wao azimio hilo na kuwalazimisha wengine kufuata tafsiri yao.