-
Jenerali Mousavi: ‘Kinara wa Magaidi’ Israel inaogopa kupanuka kwa Mhimili wa Muqawama
Sep 01, 2025 23:02Kamanda mwandamizi wa Jeshi la Iran amelaani vikali mauaji ya hivi karibuni ya maafisa wa juu wa Yemen, yaliyotekelezwa na utawala wa Israel, akiyataja kama ishara ya hofu kubwa ya Tel Aviv kuhusu kuongezeka kwa nguvu za Mhimili wa Muqawama katika eneo la Asia Magharibi.
-
Rais Pezeshkian ataka kuimarishwa amani na ushirikiano wa kiuchumi katika mkutano wa SCO
Sep 01, 2025 04:31Rais Masoud Pezeshkian ametoa wito kwa Jumuiya ya Ushirikiano ya Shanghai (SCO) kuchukua hatua madhubuti na za uwazi ili kuimarisha amani na ushirikiano wa kiuchumi duniani.
-
Kiongozi Muadhamu asisitiza utekelezaji wa makubaliano ya kimkakati ya Iran na China
Aug 31, 2025 23:14Sambamba na safari ya Rais Masoud Pezeshkian wa Iran nchini China kwa ajili ya kushiriki katika Mkutano wa Shanghai, akaunti rasmi za Ofisi ya Kuhifadhi na Kuchapisha Kazi za Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Ali Khamenei kwenye mitandao ya kijamii imechapisha baadhi ya matamshi ya Imam Khamenei kuhusu umuhimu wa uhusiano wa Iran na China kwa lugha ya Kichina.
-
Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu: Yemen itatoa jibu kali kwa Wazayuni
Aug 31, 2025 23:14Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) limetoa taarifa likilaani jinai za utawala wa Kizayuni wa Israel huko Yemen na kusisitiza kuwa, Muqawama wa Kiislamu katika eneo la Magharibi mwa Asia utatoa jibu chungu kwa wahalifu wa Kizayuni na kuwafanya wajutie.
-
Rais wa Iran na Spika wa Bunge walaani vikali hujuma ya kigaidi ya Israel dhidi ya Yemen
Aug 31, 2025 08:44Rais Masoud Pezeshkian wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran pamoja na Spika wa Bunge, Mohammad Baqer Qalibaf, wamelaani vikali hujuma ya hivi karibuni ya kijeshi iliyofanywa na Israel dhidi ya Yemen, ambayo imesababisha kuuawa kwa shahidi Waziri Mkuu wa Yemen na mawaziri kadhaa wa serikali ya mapinduzi ya nchi hiyo.
-
Pezeshkian: Mkutano wa Shanghai unatoa fursa ya kukabiliana na hatua za upande mmoja za Marekani na Ulaya
Aug 31, 2025 04:02Rais Masoud Pezeshkian wa Iran amesema kuwa mkutano ujao wa Jumuiya ya Ushirikiano ya Shanghai (SCO) unatoa fursa ya kukabiliana na hatua za upande mmoja za Marekani na Ulaya katika masuala ya kimataifa.
-
Qalibaf alaani chokochoko za Marekani dhidi ya Venezuela
Aug 31, 2025 04:00Mohammad Qalibaf Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran (Bunge) amelaani chokochoko za Marekani katika eneo la Caribbean dhidi ya Venezuela.
-
Pezeshkian:Uhusiano wa Iran na Armenia haupaswi kuvurugwa na dola la kigeni
Aug 31, 2025 01:06Rais wa Iran, Masoud Pezeshkian, amesema kuwa Iran na Armenia hazipaswi kuruhusu nguvu yoyote ya kigeni kuvuruga uhusiano wao wa kirafiki na wa kimkakati.
-
Larijani: Iran inapinga mabadiliko ya kijiografia katika ukanda wa Kavkazia
Aug 31, 2025 01:06Katibu wa Baraza Kuu la Usalama wa Taifa la Iran, Ali Larijani, ameeleza kuwa Tehran inapinga vikali hatua yoyote inayoweza kuathiri muundo wa kisiasa na kijiografia wa eneo la Kavkazi (Caucasus)
-
Iran yawakamata majasusi wa Mossad waliohusika katika vita
Aug 31, 2025 01:05Kikosi cha Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran (IRGC) kimetangaza kukamatwa kwa mtandao wa kigaidi unaohusishwa na shirika la ujasusi la Israel, Mossad, katika mkoa wa Khorasan Razavi. Majasusi hao walihusika katika shughuli za ujasusi na hujuma ndani ya Iran wakati wa mashambulizi ya siku 12 yaliyofanywa na Israel dhidi ya taifa hilo.