-
Imam Khamenei: Suala la nyuklia na haki za binadamu ni visingizio tu, Marekani haifurahishwi na uwezo wa Jamhuri ya Kiislamu
Jul 29, 2025 23:53Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema, sababu kuu ya upinzani wa ubeberu wa dunia unaoongozwa na Marekani mtenda jinai dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ni dini, elimu na umoja wa Wairani chini ya kivuli cha Qur'ani Tukufu na Uislamu.
-
Kamanda Mkuu wa Majeshi la Iran: Hatuna imani kabisa na ahadi za Marekani na Israel
Jul 29, 2025 23:44Meja Jenerali Mousavi Kamanda Mkuu wa Majeshi la Iran amesema kuwa, hatuna imani na ahadi za Wamarekani na Wazayuni, na tumejitayarisha kikamilifu kukabiliana na uovu wao unaowezekana kufanywa upya.
-
Iran yaibuka kama mzalishaji mkuu wa valvu za moyo za tishu za binadamu
Jul 29, 2025 08:17Katika hatua kubwa ya kiteknolojia ya kitabibu, Iran imejipatia nafasi miongoni mwa nchi 10 bora duniani zinazozalisha valvu za moyo zinazotengenezwa kutokana na tishu za binadamu, mafanikio yanayoweza kuleta mapinduzi katika matibabu ya moyo kwa wagonjwa wanaohitaji kupandikizwa valvu hizo.
-
Iran yakanusha vikali madai ya Marekani kuhusu kuingilia mazungumzo ya kusitisha vita Gaza
Jul 29, 2025 08:07Esmaeil Baghaei, Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran, ameyapinga vikali madai ya Marekani kuwa Iran imekuwa ikiingilia mazungumzo ya kusitisha mapigano huko Gaza, akiyataja madai hayo kuwa “yasiyo msingi wowote.”
-
Wizara ya Usalama ya Iran yaeleza ilivyopambana 'kimyakimya' kiintelijensia katika Vita vya Siku 12
Jul 29, 2025 03:31Wizara ya Usalama ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imetoa taarifa ya ufafanuzi kuhusu jinsi ilivyopambana kimya kimya na NATO ya kiintelijensia ya madola ya Magharibi katika vita vya kulazimishwa vya siku 12 vilivyoanzishwa na utawala khabithi wa kizayuni.
-
Pezeshkian: Iran iko tayari kwa mwingiliano, lakini haitaacha haki zake za nyuklia
Jul 28, 2025 23:45Rais wa Iran, Masoud Pezeshkian, amesema Tehran iko tayari kwa mazungumzo kuhusu mpango wake wa amani wa nyuklia lakini kamwe haitaacha haki za taifa hilo.
-
Iran yaonya vyombo vya habari vya India kwa habari za uongo
Jul 28, 2025 23:02Ubalozi wa Iran mjini New Delhi, umekosoa uchapishaji wa ripoti zisizo na msingi katika baadhi ya vyombo vya habari vya India, na kusema katika taarifa yake kwamba: "Vyombo vya habari vya India havipaswi kuhatarisha imani ya umma na sifa ya kitaaluma kwa kuchapisha habari za uongo."
-
Iran: Shambulizi la Israel dhidi ya meli ya msaada, Handala, ni mfano wazi wa 'uharamia'
Jul 28, 2025 09:40Iran imelaani vikali ukamataji wa nguvu uliofanywa na vikosi vya Israel dhidi ya meli ya msaada iliyokuwa ikielekea Gaza, iliyobeba wahusika wa misaada na wanaharakati katika maji ya kimataifa.
-
Mkuu wa Mahakama Iran: Marekani bila shaka imehusika na shambulio la kigaidi Zahedan
Jul 28, 2025 09:38Mkuu wa Idara ya Mahakama ya Iran, Gholamhossein Mohseni Eje’i, amelaani vikali shambulio la kigaidi lililofanywa na magaidi wa kundi linalojiita Jaish al-Adl katika jengo la mahakama ya mji wa Zahedan, kusini mashariki mwa Iran, akisisitiza kuwa vitendo kama hivyo vinaelekezwa moja kwa moja na Marekani.
-
Satelaiti ya Nahid-2 ya Iran yatulia anga za mbali, yatuma taarifa
Jul 28, 2025 09:37Mkurugenzi wa Shirika la Anga la Iran (ISA), Hossein Salariyeh, amethibitisha kupokewa kwa taarifa za awali za telemetry kutoka kwa satelaiti ya Nahid-2 iliyozinduliwa hivi karibuni, akisema ishara hizo zinaonesha kuwa kifaa hicho kiko salama na kinafanya kazi kama ilivyokusudiwa ndani ya obiti yake maalum.