-
Iran yaonya kuhusu kuenea kwa vita vya Israel nje ya Asia Magharibi
Nov 10, 2024 00:13Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Abbas Araghchi ameonya kwamba matokeo mabaya ya uvamizi wa kikatili wa Israel kwenye Ukanda wa Gaza na kusini mwa Lebanon hayataishia Asia Magharibi na yanaweza kusambaa zaidi ya eneo hilo la kimkakati
-
Waziri wa Miongozo ya Kiislamu wa Iran: Shahidi Nasrullah aliunganisha fikra na vitendo
Nov 10, 2024 00:09Waziri wa Utamaduni na Mwongozo wa Kiislamu wa Iran, amesema kwamba Shahidi Hassan Nasrullah alikuwa shakhsia mwenye kutafakari na kuchambua mambo ipasavyo na kuongeza kuwa: Shahidi huyu wa daraja ya juu alikuwa ni mchanganyiko adimu wa uwezo wa fikra na kutenda."
-
Iran na Sudan zajadili uhusiano na masuala ya kiuchumi
Nov 09, 2024 09:55Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Abbas Araghchi, amekutana na Waziri wa Fedha na Mipango ya Kiuchumi wa Sudan, Gibril Ibrahim Mohamed, aliyeko safarini mjini Tehran kujadili uhusiano wa pande mbili, biashara na uchumi.
-
Ghalibaf : Kuuawa shahidi Sayyid Nasrullah kumeonyesha ubatili wa kufanya mapatano na Israel
Nov 09, 2024 08:55Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran), Mohammad Baqer Ghalibaf amesema kuuawa shahidi aliyekuwa Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon, Sayyid Hassan Nasrullah kulifichua namna utawala wa Kizayuni usivyoheshimu mapatano ya aina yoyote.
-
Iran: Madai ya kuhusika na njama za kutaka kuwaua viongozi wa Marekani hayana msingi wowote
Nov 09, 2024 04:09Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema, madai kwamba Iran ilihusika katika jaribio la kuwaua viongozi wa zamani au wa sasa wa Marekani yanakanushwa vikali na hayana msingi wowote.
-
IRGC: Uhalisia wa kushindwa Israel unakaribia kutimia
Nov 08, 2024 23:50Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) amesema kisasi cha hivi karibuni cha Iran dhidi ya Israel kilionyesha sehemu ndogo tu ya uwezo wa taifa hili.
-
Kubatilishwa na kukanushwa hata na Ukraine madai hewa ya nchi za Ulaya dhidi ya Iran
Nov 08, 2024 23:27Rais wa Ukraine amesema, madai hewa yaliyotolewa na nchi za Ulaya dhidi ya Iran kwamba imeipelekea Russia makombora ya balestiki hayana ukweli.
-
Khatibu wa Swala ya Ijumaa mjini Tehran: Shahidi Nasrallah aligeuza Hizbullah kuwa ngome imara
Nov 08, 2024 08:47Khatibu wa Swala ya Ijumaa mjini Tehran amesema Shahidi Sayyid Hassan Nasrallah alikuwa kiongozi wa muqawama (mapambano ya Kiislamu), mwanazuoni wa mujahidina na kamanda shupavu, shujaa na mbunifu ambaye aliigeuza harakati ya muqawama ya Hizbullah ya Lebanon kuwa ngome imara.
-
Jumuiya ya Nchi za Kiislamu, OIC, yalaani vikali hujuma za Israel dhidi ya Iran
Nov 08, 2024 08:44Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) imelaani vikali kitendo cha hivi karibuni cha utawala ghasibu wa Israel cha uchokozi dhidi ya vituo kadhaa vya Iran, na kukitaja kuwa ni ukiukaji mkubwa wa mamlaka ya kujtawala ya Iran.
-
Pezeshkian: Iran haijali nani ameshinda uchaguzi wa rais Marekani
Nov 07, 2024 23:07Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema: Haijalishi kwa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran nani ameshinda uchaguzi wa rais nchini Marekani.