-
Ujumbe wa shukurani wa Kiongozi Muadhamu kwa ukarimu wa taifa na serikali ya Iraq katika Arubaini ya Imamu Hussein (as)
Sep 11, 2024 09:34Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ametoa shukurani zake kwa wenye mawkib na taifa kubwa la Iraq katika kipindi cha kumbukumbu ya Arubaini ya Imam Hussein (as).
-
Marais wa Iran na Iraq wakutana Baghdad na kusisitiza kuimarisha uhusiano
Sep 11, 2024 09:03Marais wa Iran na Iraq wamesisitiza juu ya kupanuliwa ushirikiano wa pande mbili katika nyanja mbalimbali za kiuchumi, kisiasa na kiutamaduni na juhudi za pamoja za kuhimiza uthabiti katika eneo hili.
-
Kamanda wa IRGC: Israel kupokea majibu 'ya kuumiza' kwa mashambulizi dhidi ya Syria
Sep 11, 2024 08:55Kamanda wa ngazi za juu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran (IRGC) ameuonya utawala wa Kizayuni wa Israel kwamba utapokea "majibu ya kuumiza" kutokana na mashambulizi yake ya anga dhidi ya vituo na majengo mengi ya kijeshi katika mkoa wa kati wa Hama nchini Syria.
-
Safari ya Pezeshkian mjini Baghdad; kupanuliwa na kuimarishwa uhusiano wa pande mbili za Iran na Iraq
Sep 11, 2024 07:04Rais Masoud Pezeshkian wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran leo aliwasili mjini Baghdad, ambako amekutana na kufanya mazungumzo na mashauriano na viongozi wa Iraq kwa lengo la kupanua na kuimarisha uhusiano kati ya nchi mbili.
-
Rais Pezeshkian awasili mjini Baghdad kwa lengo la kuimarisha uhusiano wa pande mbili na Iraq
Sep 11, 2024 04:24Rais Masoud Pezeshkian wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amewasili mjini Baghdad leo asubuhi kwa lengo la kukutana na kushauriana na viongozi wa nchi jirani ya Iraq kwa lengo la kupanua na kuimarisha uhusiano kati ya nchi mbili hizi za Kiislamu.
-
Kanani: Kuwekewa vikwazo ndege za Iran ni ugaidi wa kiuchumi wa nchi za Magharibi
Sep 11, 2024 03:37Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Iran ameichukulia kauli ya Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Uingereza, Ufaransa na Ujerumani kuhusiana na kufutwa makubaliano ya pande mbili ya kutoa huduma za anga kwa Iran kuwa ni ugaidi wa kiuchumi wa nchi za Magharibi dhidi ya taifa la Iran.
-
Iran yaihimiza zaidi jamii ya kimataifa iilazimishe Israel ikomeshe jinai zake
Sep 10, 2024 07:47Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran ameitaka jamii ya kimataifa na taasisi zenye ushawishi kimataifa hususan Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kuulazimisha utawala wa Kizayuni ukomeshe jinai zake huko Ghaza na katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.
-
Kuendelea sera za ujirani katika serikali ya awamu ya 14 ya Iran
Sep 10, 2024 07:09Rais Masoud Pezeshkian wa serikali ya awamu ya 14 ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, moja ya vipaumbele vya serikali katika uga wa siasa za nje ni kufuata siasa za ujirani.
-
Shahram Irani: Iran haiogopi kukabiliana na dola lolote
Sep 10, 2024 03:36Kamanda wa Jeshi la Majini la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa nchi hii imefikia kiwango cha nguvu za aina yake ambazo zinaifanya iweze kuchukua hatua mkabala wa hujuma na makabiliano mbalimbali dhidi yake.
-
Russia: Iran ni waitifaki wetu, lakini si kweli kwamba wametupa makombora
Sep 09, 2024 22:56Ikulu ya Kremlin imekanusha vikali madai ya jarida la Wall Street Journal la Marekani lililodai kuwa Iran imeipa Russia makombora ya masafa mafupi ya balestiki ili yatumike katika vita vinavyoendelea nchini Ukraine.