-
Iran yalaani vikali shambulio la kigaidi kwenye makao ya Shirika la Anga la Uturuki
Oct 24, 2024 03:58Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Iran amelaani vikali shambulio la kigaidi kwenye makao makuu ya Shirika la Anga la Uturuki (TOSASH) mjini Ankara.
-
Pezeshkian: Mandela atakumbukwa kwa mapambano yake dhidi ya dhulma
Oct 24, 2024 03:49Rais wa Iran, Masoud Pezeshkian amemuenzi na kumpongeza kiongozi wa zamani wa Afrika Kusini, hayati Nelson Mandela kutokana na jitihada na mapambano yake dhidi ya dhulma na ukandamizaji.
-
Pezeshkian: Uhusiano wa Iran na Russia ni wa kimkakati, wenye manufaa makubwa
Oct 23, 2024 23:13Rais Masoud Pezeshkian amesema uhusiano wa Iran na Russia ni "wa kimkakati na wenye manufaa makubwa."
-
IRIB yashinda tuzo maalumu ya Uhandisi wa Utangazaji ya ABU 2024
Oct 23, 2024 22:48Shirika la Utangazaji la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran IRIB limeshinda tuzo maalumu ya "Uhandisi wa Utangazaji" ya Umoja wa Redio na Televisheni za nchi za Asia na Pasifiki (ABU) ya mwaka 2024.
-
Umuhimu wa kushiriki rasmi Iran katika mkutano wa BRICS
Oct 23, 2024 09:37Siku ya Jumanne, kabla ya kuondoka kwake nchini kwenda Russia kwa ajili ya kushiriki katika mkutano wa BRICS katika mji wa Kazan, Rais Masoud Pezeshkian wa Iran alisema BRICS ni njia ya kujiimarisha na pia kuondokana na siasa za upande mmoja za Marekani katika mfumo wa dunia.
-
Imamu Khamenei: Utawala wa Kizayuni umeshindwa kwa kutoweza kuuangamiza Muqawama
Oct 23, 2024 09:34Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema, utawala wa Kizayuni umeshindwa katika njama yake ya kuuangamiza Muqawama licha ya kuua zaidi ya watu 50,000 wasio na hatia, lakini kushindwa kubaya zaidi ya huko ni fedheha na aibu uliyopata utamaduni, ustaarabu na wanasiasa wa Magharibi.
-
Iran, Ethiopia zajadili BRICS, uhusiano wao na masuala ya kieneo
Oct 23, 2024 06:54Katika mkutano muhimu wa kidiplomasia, Rais wa Iran, Masoud Pezeshkian amekutana na Abiy Ahmed, Waziri Mkuu wa Ethiopia, ambapo wamejadili masuala muhimu ya pande mbili na kikanda.
-
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran: BRICS inakuwa kambi mpya duniani
Oct 23, 2024 06:53Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema kuwa kundi la BRICS linabadilika na kuwa kambi mpya duniani.
-
Rais Pezeshkian kukutana na Marais wa Russia, China na Afrika Kusini
Oct 23, 2024 04:33Rais wa Iran, Massoud Bishikian, leo Jumatano atakutana na marais wa Russia, China Afrika Kusini na viongozi baadhi ya nchi zinazoshiriki katika mkutano wa kilele wa Jumuiya ya Kiuchumi ya BRICS ulianza jana katika mji wa Kazan nchini Russia.
-
IRGC: Hatua yoyote ya Israel dhidi ya Iran itakabaliwa na majibu makubwa zaidi
Oct 23, 2024 04:28Kamanda wa ngazi ya juu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) ameonya kwamba iwapo Wazayuni watachukua "hatua kubwa" dhidi ya Iran, bila shaka watakabiliwa na jibu kubwa "mara kadhaa zaidi".