-
Ayatullah Khamenei: Njia pekee ya kumaliza vita Asia Magharibi ni kupungua uovu wa Marekani
Oct 02, 2024 07:23Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa, chimbuko la matatizo ya eneo la Asia Magharibi ni mataifa kama Marekani na baadhi ya nchi za Ulaya zinazodai kwa uwongo kwamba, zinataka amani na utulivu.
-
Video na Picha zinazohusiana na mashambulizi ya Iran dhidi ya Israel
Oct 02, 2024 06:44Shambulio halali kisheria la makombora lililofanywa na Iran kwa kulenga maeneo ya kijeshi ya utawala haramu wa Kizayuni wa Israel, na ambalo limetekelezwa kutokana na kuuawa shahidi viongozi wa Muqawama, limeibua wimbi kubwa la furaha na matumaini kwa wananchi wa eneo la Magharibi mwa Asia. Hapa chini tumeweka picha na video zinazohusiana na shambulio hilo lililopewa jina la Ahadi ya Kweli (2).
-
Iran yauandikia barua muhimu Umoja wa Mataifa na kutoa onyo kali kwa utawala wa Kizayuni wa Israel
Oct 02, 2024 05:37Mwakilishi wa Kudumu wa Iran katika Umoja wa Mataifa amemwandikia barua Katibu Mkuu na Rais wa Baraza la Usalama la umoja huo kufuatia operesheni ya makombora iliyofanywa na Iran, na kusisitiza kuwa, endapo utawala wa Israel utarudia tena vitendo vyake vinavyokiuka sheria za kimataifa, jibu litakalotolewa tena na Iran litakuwa la haraka, madhubiti na kali zaidi kuliko lililiotangulia.
-
Araghchi: Shambulio la Iran dhidi ya utawala wa Israel limetokana na haki ya uhalali wa kujilinda
Oct 02, 2024 04:39Sayyid Abbas Araghchi, Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amelitaja shambulio kali la makombora la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran dhidi ya utawala katili wa Israel kuwa limeendana na haki ya halali wa kujilinda ya Kifungu cha 51 cha Mkataba wa Umoja wa Mataifa (UN).
-
Rais Pezeshkian: Hiki ni kiduchu tu cha uwezo wetu, Netanyahu usicheze na Iran
Oct 02, 2024 00:14Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Daktari Masoud Pezeshkian amesema "Jibu madhubuti limetolewa kwa uchokozi wa utawala wa Kizayuni wa Israel na kwamba jibu hilo ni sehemu ndogo sana ya uwezo wa Jamhuri ya Kiislamu.
-
Mkuu wa Idara ya Mahakama ya Iran: Bendera ya Hizbullah na Muqawama haitaanguka chini
Oct 01, 2024 10:27Mkuu wa Idara ya Mahakama ya Iran amesisitiza kuwa bendera ya Hizbullah na Muqawama kamwe haitoanguka chini na amesisitiza kuwa, utawala ghasibu wa Kizayuni na Marekani watenda jinai wafahamu kwamba, hivi sasa Iran itaunga mkono zaidi kambi ya Muqawama kuliko ilivyokuwa huko nyuma.
-
Rais wa Iran kuelekea Qatar kesho Jumatano
Oct 01, 2024 10:23Rais wa Iran kesho Jumatano ataondoka hapa Tehran na kuelekea Qatar kwa madhumuni ya kushiriki katika kikao rasmi cha nchi mbili na kushiriki katika Jukwaa la Mazungumzo ya Ushirikiano wa Asia.
-
Kukosoa Araghchi "kutochukua hatua" Baraza la Usalama kukabiliana na jinai za Wazayuni dhidi ya Gaza na Lebanon
Oct 01, 2024 05:01Sayyid Abbas Araghchi, Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameitaja hatua ya Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa ya kutochukua hatua kutokana na ukwamishaji mambo wa Marekani na waungaji mkono wengine wa Magharibi wa Israel kuwa ndio sababu kuu ya kuendelea jinai, chokochoko na vitendo visivyo halali vya utawala haramu wa Kizayuni.
-
Rais wa Iran akosoa undumakuwili wa Marekani na Ulaya kuhusu haki za binadamu
Sep 30, 2024 22:49Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amekosoa undumakuwili wa Marekani na madola ya Ulaya kuuhusiana na haki za binadamuu na kusema, kimya cha nchi za magharibi mbele ya mauaji ya maelfu ya watu wasio na hatia ni kugonga muhuri wa kuunga mkono jinai hizi.
-
Rais Pezeshkian: Damu ya shahidi Nasrullah itaendelea kuchemka na itasimama wima mbele ya dhulma
Sep 30, 2024 11:09Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Marekani na waungaji mkono wa utawala wa Kizayuni wamewaonyesha walimwengu jinsi haki za binadamu, utu wa binadamu na sheria za kimataifa zinavyokiukwa, magaidi na wahalifu wanaitwa watetezi wa haki za binadamu na waungaji mkono wa haki za binadamu kwa wanaodhulumiwa na wanaitwa kuwa ni magaidi.