-
Tehran: Taasisi za haki za binadamu za UN ni ‘mwanasesere’ wa baadhi ya tawala za Magharibi
Mar 09, 2024 09:29Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amepinga ripoti ya ujumbe uliopewa mamlaka na Umoja wa Mataifa kuhusu machafuko ya 2022 nchini Iran, akisema kwamba mifumo ya haki za binadamu wa chombo hicho cha kimataifa imegeuka kuwa "mwanasesere" mikononi mwa baadhi ya tawala ili kuendeleza uovu wao.
-
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran: Hatua ya Meta ya kufuta akaunti za Ayatllah Khamenei ni kinyume cha sheria
Mar 09, 2024 09:28Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amelaani hatua ya kampuni ya Meta ya kuondoa akaunti za Instagram na Facebook za Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Sayyid Ali Khamenei na kusema ni "kinyume cha sheria na na maadili."
-
Rais Raisi: Iran ya leo imeendelea na ni ya teknolojia
Mar 09, 2024 04:13Rais Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema Iran ya Kiislamu ya leo imeendelea na ni ya teknolojia.
-
Iran yataka Israel iondolewe kwenye tume ya Umoja wa Mataifa ya haki za wanawake
Mar 09, 2024 02:33Afisa mkuu wa haki za binadamu wa Iran ametoa wito wa kuondolewa utawala haramu wa Israel katika Kamisheni ya Umoja wa Mataifa kuhusu hali ya wanawake baada ya maelfu ya wanawake wa Kipalestina kuuawa na kujeruhiwa katika vita vinavyoendelea vya Israel vya mauaji ya kimbari huko Gaza.
-
Khatibu wa Sala ya Ijumaa ya Tehran: Tuitumie vyema fursa ya mwezi mtukufu wa Ramadhani
Mar 08, 2024 09:16Imam wa muda wa Sala ya Ijumaa ya Tehran amewataka Waislamu kujiandaa vizuri kwa ajili ya kuingia kwenye mwezi mtukufu wa Ramadhani kama ambavyo pia amesisitiza kwamba, washindi wa vita vya utawala wa Kizayuni huko Ghaza, ni Wapalestina.
-
Iran yaiambia UN: Tuna haki halali ya kujibu vitisho vya Israel
Mar 08, 2024 04:38Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Iran katika Umoja wa Mataifa amesema Jamhuri ya Kiislamu ina kila haki na uhalali wa kuchukua hatua zote inazoweza kujibu uchokozi na tishio lolote kutoka utawala wa Israel dhidi ya usalama wake wa taifa na maslahi ya nchi hii.
-
Kamanda Salami: Vita vya Gaza vimeifedhehesha Marekani
Mar 08, 2024 03:53Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu la Iran (IRGC) amesema mauaji ya wanawake, watoto wadogo na raia wengine wasio na hatia katika Ukanda wa Gaza si kitu chochote kingine ghairi ya aibu na fedheha kwa Marekani.
-
Mkuu wa Idara ya Mahakama Iran ataka mataifa ya Kiislamu kukata uhusiano wa kibiashara na Israel
Mar 07, 2024 22:54Mkuu wa Idara ya Mahakama ya Iran amesisitiza juu ya ulazima wa kukatwa uhusiano wa kibiashara kati ya nchi za Kiislamu na utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Kiongozi Mkuu: Mantiki ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ni ya kusimama imara kukabiliana na kambi ya Uistikbari
Mar 07, 2024 08:49Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran amesema, mantiki ya kidini, kiakili na ya kiutu ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ni ya kusimama imara kukabiliana na kambi ya Uistikbari.
-
Wagonjwa wa ngozi ya kipepeo (EB), waathiriwa wa vikwazo vya Marekani
Mar 07, 2024 06:18Jumatano ya jana, Mahakama ya Hata ya Uhusiano wa Kimataifa ya Tehran iliamuru kukamatwa shehena ya mafuta ya Marekani katika maji ya Ghuba ya Uajemi, na shehena ya meli hiyo sasa imekamatwa na vyombo husika vya Iran.