-
Iran: Israel inawajihiwa na siku za kutisha kutokana na majibu makali ya muqawama
Dec 07, 2023 00:03Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema wanamapambano wa makundi ya muqawama ya Palestina wameendelea kutoa majibu makali na ya nguvu kwa uvamizi wa Israel dhidi ya Ukanda wa Gaza, na kwamba mwenendo wa majibu hayo utauweka utawala wa Kizayuni kwenye hali mbaya katika siku zijazo.
-
Katika mkesha wa kufanyika safari ya pili ya Rais Raisi nchini Russia
Dec 06, 2023 08:14Kesho Alhamisi, Rais Raisi Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran huku akiwa anaongoza ujumbe wa ngazi za juu wa kisiasa na kiuchumi, ataondoka nchini kuelekea Moscow kwa mwaliko rasmi wa Rais Vladimir Putin wa Russia.
-
Radiamali ya Kanaani kuhusu kuendelea jinai za Wazayuni dhidi ya Wapalestina kwa uungaji mkono wa kijeshi wa baadhi ya nchi.
Dec 06, 2023 04:39Nasser Kanani, Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema propaganda kali za Wazayuni na Marekani dhidi ya Wapalestina ni sawa na madhara yanayosababishwa na makombora yanayodondoshwa kwenye vichwa vya Wapalestina hao wasio na hatia.
-
Kiongozi wa Mapinduzi asisitiza juu ya kunufaika na uwezo wa pamoja wa Iran na Cuba
Dec 06, 2023 04:27Akizungumza Jumatatu alasiri hapa mjini Tehran na Rais Miguel Diaz-Canel wa Cuba na ujumbe aliofuatana nao, Ayatulla Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ameashiria fursa zilizopo katika nchi mbili na kusisitiza haja ya kutumiwa fursa na uwezo huo kwa manufaa ya watu wa nchi mbili.
-
Iran imefanikiwa kutuma chombo cha kibilojia katika anga za juu
Dec 06, 2023 08:34Iran imefanikiwa kutuma kapsuli ya kibilojia katika anga za juu kwa kutumia roketi iliyoundwa nchini na iliyopewa jina la Salman.
-
Rais Raisi: Mauaji ya halaiki ya Wapalestina yatapelekea kuangamia utawala wa Israel
Dec 06, 2023 00:10Rais wa Iran Ebrahim Raisi amesema kuwa mauaji ya halaiki yanayotekelezwa na utawala haramu wa Israel dhidi ya wanawake na watoto wasio na hatia wa Kipalestina yatapelekea kuangamia utawala huo ghasibu.
-
Balozi wa Iran UN: Uingereza imekuwa na nafasi kuu katika mateso ya muda mrefu ya wananchi wa Palestina
Dec 05, 2023 08:15Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Iran katika Umoja wa Mataifa amelaani tuhuma zisizo na msingi wowote dhidi ya Iran zilizotolewa na Mwakilishi wa Uingereza na kusisitiza kuwa: Uingereza imekuwa na nafasi kuu katika kuteseka na kutaabika kwa muda mrefu raia wa Palestina.
-
Iran na Cuba mbioni kuimarisha uhusiano wa kimkakati
Dec 05, 2023 05:54Marais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Cuba wametiliana saini hati 7 za ushirikiano zinazolenga kuimarisha uhusiano wa kimkakati baina ya pande mbili.
-
Kiongozi Muadhamu: Kuundwe muungano wa kimataifa wa kukabiliana na ubabe wa Marekani na Wamagharibi
Dec 04, 2023 11:31Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesisitiza kuwa, uwezo mkubwa wa kisiasa na kiuchumi wa Iran na Cuba unapaswa kutumiwa kuunda muungano wa nchi ambazo zina misimamo sawa dhidi ya ubabe na utumiaji mabavu wa Marekani na Wamagharibi.
-
Ebrahim Raisi: Kukabiliana na mabeberu ni jambo la pamoja la Iran na Cuba
Dec 04, 2023 09:51Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuwa: Muqawama dhidi ya mfumo wa satwa na mfumo wa kibeberu ni jambo la pamoja la Iran na Cuba ambalo limeziweka nchi hizo mbili katika vikwazo vya Marekani.