-
Mamilioni ya Wairani waandamana kulaani jinai za Israel na kutetea watu wa Gaza
Nov 18, 2023 10:01Watu wa Iran ya Kiislamu leo wamefanya maandamano makubwa kote nchini kuwatetea watoto wanaoendelea kuuawa wa Palestina sambamba na kulaani "mauaji ya watoto wachanga", "uhalifu", "mauaji ya kimbari", "mauaji ya halaiki", "ugaidi", "uhalifu wa kivita" na "maafa ya binadamu" yanayoendelea katika Ukanda wa Gaza.
-
Ofisi ya Iran UN: Muundo wa sasa wa Baraza la Usalama hauakisi hali halisi ya jamii ya kimataifa
Nov 18, 2023 09:05Afisa wa kitengo cha habari wa ofisi ya mwakilishi wa Iran katika Umoja wa Mataifa amesema: Muundo wa sasa wa Baraza la Usalama la umoja wa huo hauakisi hali halisi ya jamii ya kimataifa.
-
Brigedia Jenerali Qaani: Israel ni dhaifu kuliko utando wa buibui
Nov 18, 2023 00:20Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) amesema Operesheni ya Kimbunga cha al-Aqsa imefichua kuwa utawala haramu wa Israel ni dhaifu kuliko hata nyumba ya buibui.
-
Iran: US ndiyo sababu ya kushtadi mgogoro Ukanda wa Gaza
Nov 18, 2023 00:19Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema Jamhuri ya Kiislamu haitaki vita vya Gaza vipanuke, lakini yumkini vitasambaa zaidi katika maeneo mengine kwa kuwa Marekani inachochea mgogoro huo kwa kuuunga mkono utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
"Utawala wa Kizayuni ndicho kielelezo kikuu cha uzushaji wa migogoro duniani"
Nov 17, 2023 07:38Khatibu wa Salama ya Ijumaa ya leo ya hapa Tehran amezungumzia jinai za utawala wa Kizayuni kwenye Ukanda wa Ghaza na kusema kuwa, utawala unaoikalia kwa mabavu Quds Tukufu, ndicho kielelezo kikubwa zaidi cha kuzalisha migogoro kwenye eneo la Asia Magharibi na duniani kwa ujumla.
-
Jibu la Iran kuhusu kupasishwa azimio la Canada dhidi yake
Nov 17, 2023 05:44Kamati ya Tatu ya Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa imepitisha azimio jipya kuhusu hali ya haki za binadamu nchini Iran katika hali ambayo idadi ya walioliunga mkono ilikuwa ndogo kuliko ya wale waliolipigia au kujizuia kupiga kura.
-
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran aonya kuhusu kuenea vita vya Gaza kote Asia Magharibi
Nov 17, 2023 04:45Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Hossein Amir-Abdollahian ameonya katika mkutano na mwenzake wa Ufaransa kwamba ikiwa hali ya Gaza itaendelea, chochote kinaweza kutokea, ikiwa ni pamoja na kupanuka zaidi vita.
-
Mkuu wa IRGC: Israel, Marekani zinakabiliwa na kinamasi huko Gaza
Nov 17, 2023 04:35Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) Meja Jenerali Hossein Salami anasema vijana wa Kipalestina wanazoea hali halisi mpya huko Gaza, ambako Israel na Marekani zinakabiliwa na kinamasi.
-
Rais wa Iran: Hakuna nchi yenye ujasiri wa kuishambulia Iran
Nov 16, 2023 08:10Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema: Iran imefikia kiwango cha kujitosheleza katika sekta ya kijeshi na hakuna nchi inayoweza kuthubutu kuivamia ardhi ya nchi hii.
-
Amir Abdollahian: Hali ya Syria imekuwa ngumu kutokana na uingiliaji wa Marekani
Nov 16, 2023 03:19Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema katika kikao na Mwakilishi Maalum wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa katika Masuala ya Syria kwamba hali ya Syria imekuwa ngumu kutokana na uingiliaji wa Marekani.