-
Ukumbusho na indhari ya Iran kwa UN kuhusu utambulisho na matokeo ya vitisho vya utawala wa Kizayuni
Sep 29, 2023 00:29Amir Saeid Iravani Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Iran katika Umoja wa Mataifa amewaandikia barua Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Mwenyekiti wa Baraza Kuu la UN na Rais wa Baraza la Usalama la umoja huo kuhusu matamshi ya vitisho ya karibuni ya waziri mkuu wa utawala wa Kizayuni dhidi ya Iran.
-
Ghalibaf: Nchi za Afrika kwa Iran ni muhimu sana kama ilivyo kundi la BRICS
Sep 28, 2023 11:54Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) amesema katika mazungumzo na wanaharakati na wabunge wa Afrika Kusini kwamba, Tehran inaamini kuwa, umuhimu wa nchi za Afrika hususan Afrika Kusini ni mkuubwa na ni sawa na umuhimu wa kundi la BRICS, kwa Iran.
-
Raisi: Kurushwa kwa mafanikio satalaiti "Nour 3" ni ishara nyingine ya kushindwa mradi wa vikwazo vya adui
Sep 28, 2023 04:22Rais wa Iran, Ebrahim Raisi, amepongeza kurushwa kwa mafanikio satalaiti Nour-3 katika obiti akikutaja kuwa ni ushindi wa taifa na ushahidi wa kushindwa mradi wa vikwazo na vitisho vya adui.
-
Iran yalaani vikali kudhalilishwa Qur'ani Tukufu nchini Uholanzi
Sep 28, 2023 00:51Iran imelaani vikali kitendo cha kuvunjiwa heshima Qur'ani Tukufu mara kwa mara nchini Uholanzi, na kuitaka nchi hiyo ya Ulaya kuheshimu hisia za mabilioni ya Waislamu kote duniani.
-
Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Kimataifa ya la Kukurubisha Pamoja Madhehebu za Kiislamu: Iran imejenga matumaini katika nyoyo za Waislamu
Sep 27, 2023 23:31Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Kimataifa ya Kukurubisha Pamoja Madhehebu za Kiislamu amesema: Makubaliano ya kieneo na ya kimataifa yaliyoundwa duniani chini ya usimamizi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran yameibua matumaini katika nyoyo za Waislamu duniani.
-
Iran yatilia mkazo kusitishwa hatua za mabavu dhidi ya nchi zinazostawi
Sep 27, 2023 12:56Mshauri Maalumu wa Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesisitiza umuhimu wa kubadilishwa hali na mazingira ya kimataifa kupitia kukomesha hatua za mabavu za upande mmoja dhidi ya nchi zinazostawi duniani.
-
Kutumia vibaya nchi za Magharibi Mashirika ya Kimataifa kuishinikiza Iran
Sep 27, 2023 08:12Mkuu wa Shirika la Nishati ya Atomiki la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran sambamba na kukosoa siasa za nchi za Magharibi amesema, nchi hizo zinatumia vibaya chombo hicho kama silaha ya kuishinikiza Iran.
-
Kumalizika safari ya Amir Abdollahian mjini New York; diplomasia yenye nguvu ndani ya siku 7
Sep 27, 2023 03:05Hossein Amirabdollahian, Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amerejea Tehran baada ya kuwa mjini New York kwa siku saba.
-
Raisi, Putin wajadili uhusiano wa Iran na Russia, walaani uingiliaji maajinabi katika masuala ya kikanda
Sep 27, 2023 00:25Rais wa Iran Ebrahim Raisi na mwenzake wa Russia, Vladimir Putin, wamejadili kuhusu kupanuka kwa uhusiano wa Tehran na Moscow na matukio ya hivi karibuni katika eneo hili, huku wakisisitiza ulazima wa kuzuia uingiliaji ajinabi katika masuala ya kieneo.
-
Spika: Uanachama wa Iran katika BRICS una manufaa ya kisiasa na kiuchumi
Sep 26, 2023 10:22Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran (Bunge) amesema kupewa uanachama Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika kundi la BRICS kuna umuhimu mkubwa wa kisiasa, kiuchumi na hata kijiografia.