-
Idadi ya watalii wanaokuja Iran yaongezeka kwa asilimia 38
Sep 26, 2023 09:15Naibu Waziri wa Turathi za Kitamaduni, Utalii na Sanaa wa Iran amesema watalii wa kigeni zaidi ya milioni 3.3 waliitembelea Jamhuri ya Kiislamu katika nusu ya kwanza ya mwaka huu wa Kiirani 1402 (Machi 21-Septemba 22).
-
Eslami akosoa mienendo ya nchi za Magharibi kuhusu Iran
Sep 26, 2023 04:27Mkuu wa Shirika la Nishati ya Atomiki la Iran (AEOI) amekosoa mienendo ya nchi za Magharibi na kusema: nchi hizo hutumia uwezo wa Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA) kuishinikiza Iran.
-
Iran yasema ina haki ya kujibu tabia ya kiburi ya Israel
Sep 25, 2023 23:40Mkuu wa Shirika la Nishati ya Atomiki la Iran amesema Jamhuri ya Kiislamu ina haki ya kujibu tabia ya kiburi ya utawala wa Israel, siku chache baada ya waziri mkuu wa utawala huo ghasibu, Benjamin Netanyahu kusema Iran "lazima ikabiliwe na tishio la kihakika la nyuklia."
-
Tamasha la wanahabari la Khorsheed la Iran kuleta pamoja waandishi wa habari wanawake
Sep 25, 2023 23:33Mji wa pili kwa ukubwa nchini Iran wa Mashhad unatazamiwa kuwa mwenyeji wa mkutano muhimu wa waandishi wa habari wanawake mashuhuri wanaofanya kazi katika majukwaa mbadala ya vyombo vya habari kutoka kote ulimwenguni mwishoni mwa Septemba.
-
Mikutano ya kidiplomasia New York; fursa ya kubainishwa diplomasia ya Iran
Sep 25, 2023 05:46Hossein Amir Abdollahian, Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kufanyika vikao na mazungumzo na viongozi wa nchi mbalimbali pambizoni mwa kikao cha Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa kumeandaa uwanja wa kuimarishwa diplomasia ya Iran ulimwenguni.
-
Pigo kubwa la Wizara ya Intelijensia kwa magaidi; kuzimwa makumi ya milipuko mjini Tehran
Sep 25, 2023 04:38Wizara ya Intelijensia ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imetangaza kupitia taarifa kwamba imefanikiwa kuzima milipuko 30 ya wakati mmoja mjini Tehran na kuwatia mbaroni magaidi 28 waliokuwa wanapanga kuilipua na kusababisha maafa na hasara kubwa nchini.
-
Iran: Tunatangaza rasmi kuwa tuna makombora ya kuipiga Israel kutokea hapa hapa nchini
Sep 25, 2023 02:40Msemaji wa Wizara ya Ulinzi wa Iran amesema kuwa, leo hii Jamhuri ya Kiislamu ina makombora ambayo jina lake ni makombora ya kupiga Israel kwa sababu shabaha kubwa zaidi ya kubuniwa na kutengenezwa makombora hayo ni kuupiga utawala wa Kizayuni.
-
Amir- Abdollahian: Maneno na vitisho vya utawala bandia wa Kizayuni havina nafasi
Sep 25, 2023 01:15Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuwa hii leo Wazayuni wamedhoofika pakubwa na hakuna anayebabaishwa na vitisho vya utawala huo.
-
Raisi: Iran haina mpango wa kumiliki silaha za nyuklia
Sep 24, 2023 23:42Rais wa Iran amepuuzilia mbali madai ya madola ya Magharibi kwamba Jamhuri ya Kiislamu inataka kuunda silaha za nyuklia.
-
Iran: Hatutotuma balozi wetu mpaka serikali ya Sweden ichukue hatua nzuri kuhusu Qur'ani
Sep 24, 2023 07:24Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amefanya mazungumzo na waziri mwenzake wa Sweden na kusisitiza kuwa, Tehran haitotuma balozi wake nchi humo hadi pale serikali ya Stockholm itakapochukua hatua nzuri za kuheshimiwa Qur'ani Tukufu nchini Sweden.