-
Amir Abdollahian: Mizani ya Iran ni mienendo ya Marekani
Sep 24, 2023 04:27Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuwa: Kipimo cha Iran ni mienendo ya Marekani; na matendo na mienendo ya serikali ya Marekani ni ya kindumakuwili na msingi wake ni kucheza na wakati.
-
Rais wa Iran: Kuna ulazima wa kuangaliwa upya muundo wa Umoja wa Mataifa
Sep 23, 2023 01:02Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, kuna umuhimu wa kufanyika marekebisho katika muundo wa Umoja wa Mataifa.
-
Iran na Djibouti zakubaliana kufufua uhusiano wa kidiplomasia
Sep 23, 2023 00:38Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Iran na Djibouti wameafikiana juu ya kuhuisha uhusiano wa kidiplomasia wa Tehran na Asmara, kwa maslahi ya mataifa haya mawili.
-
Khatibu wa Sala ya Ijumaa Tehran: Kujihami kutakatifu ni zama zisizosahaulika katika historia ya Mapinduzi ya Kiislamu
Sep 22, 2023 09:03Khatibu wa Sala ya Ijumaa iliyosaliwa leo hapa mjini Tehran amesema kuwa, kipindi cha kujihami kutakatifu ni zama ambazo haziwezi kusahauliwa katika historia ya Mapinduzi ya Kiislamu
-
Safari ya Waziri wa Ulinzi wa Russia nchini Iran na kuimarika uhusiano wa kiulinzi wa nchi mbili
Sep 22, 2023 09:02Waziri wa Ulinzi wa Russia, Sergei Shoigu ameonana na Meja Jenerali Mohammad Baqeri, Mkuu wa Komandi Kuu ya Majeshi ya Iran hapa mjini Tehran.
-
Mazungumzo ya Mawaziri wa Mashauri ya Kigeni wa Iran na UAE; Rais wa Imarati aalikwa Tehran
Sep 22, 2023 08:33Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amekutana na kufanya mazungumzo na mwenzake wa Imarati kama pambizoni mwa mikutano ya kidiplomasia huko New York.
-
Rais Raisi: Vita havina nafasi katika miongozo ya kijeshi ya Iran
Sep 22, 2023 03:12Rais Ebrahim Raisi amesema: Vita havina nafasi katika miongozo ya kijeshi ya Iran, lakini kudumisha utayarifu wa kijeshi kwa muelekeo wa kujihami ni sera ya Jamhuri ya Kiislamu isiyo na shaka yoyote.
-
Baqeri: Ghuba ya Uajemi inahitaji usalama wa nchi za eneo tu
Sep 21, 2023 23:14Mkuu wa Komandi Kuu ya Vikosi vya Ulinzi vya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amekosoa uwepo wa kijeshi wa maajinabi katika Ghuba ya Uajemi na kusisitiza kuwa, nchi za eneo hili zina uwezo wa kujidhaminia usalama wao.
-
Mhusika mkuu wa shambulio la kigaidi huko Shah Cheragh ahukumiwa kifo
Sep 21, 2023 08:39Mhusika mkuu wa shambulio la kigaidi kwenye Haram Takatifu ya Hadhrat Ahmad bin Musa (AS) maarufu kama Shah Cheragh mjini Shiraz kusini mwa Iran, amehukumiwa kifo.
-
Raisi: Ikiwa Wamarekani watatimiza wajibu wao, tutafikia makubaliano mazuri
Sep 21, 2023 04:18Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuwa: Marekani na nchi za Ulaya zinapaswa kutimiza makubaliano.