-
Mitazamo wa Kiongozi Muadhamu; kujihami kutakatifu kumetanua mipaka ya muqawama
Sep 21, 2023 03:55Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ameonana na kuhutubia mjumuiko wa vinara, familia za mashahidi, wasanii, waandishi, wasaidizi, maveterani na wanaharakati wa masuala ya vita vya kujihami kutakatifu (vya baina ya Iran na utawala wa zamani wa Iraq) na kutilia mkazo udharura wa kuendelezwa njia ya muqawama.
-
Waziri wa Ulinzi wa Russia: Uhusiano na Iran 'unafikia kiwango kipya' licha ya vikwazo
Sep 20, 2023 23:24Waziri wa Ulinzi wa Russia, Jenerali Sergei Shoigu anasema uhusiano wa nchi hiyo na Iran "unafikia kiwango kipya" kinyume na kampeni ya mashinikizo ya Magharibi inayolenga nchi zote mbili.
-
Persepolis yapoteza mechi yake ya kwanza Ligi ya Klabu Bingwa Asia
Sep 20, 2023 10:38Mechi za raundi ya 1 ya Ligi ya Klabu Bingwa barani Asia zilifanyika jana Jumanne.
-
Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu: Vijana wa nchi hii wanaweza kutatua matatizo yote
Sep 20, 2023 08:17Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amekutaja kushamiri kwa vipaji vya maelfu ya vijana hapa nchini kuwa ni mojawapo ya hali halisi na matunda ya kujihami kutakatifu na kusisitiza kuwa, vijana wa nchi hii wanaweza kutatua matatizo yote.
-
Rais wa Iran: Maadui hawatafanikiwa kamwe kupotosha ukweli wa Qur'ani
Sep 20, 2023 08:02Rais Ebrahim Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran wa Iran amelihutubia Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa na kueleza kwamba, maadui hawatafanikiwa kupotosha uhakiika wa Qur'ani.
-
Kushindwa vyombo vya habari vya upinzani kuibua machafuko nchini Iran
Sep 20, 2023 04:52Katika kipindi kisichopungua mwezi mmoja uliopita vyombo vya habari vya aduii vilipanga na kuratibu njama za kuibua ghasia na machafuko nchini Iran; hata hivyo miji mbalimbali ya Iran katika masiku ya karibuni imeshuhudia hali ya amani na utulivu.
-
Raisi: Mradi wa kuufanya ulimwengu uwe wa Kimarekani umefeli
Sep 19, 2023 23:51Rais Ebrahim Raisi wa Iran amesema mpango wa Marekani wa kuitwisha dunia sera na misimamo yake umefeli na kugonga mwamba.
-
"Muungano madhubuti umeundwa dhidi ya Wazayuni duniani"
Sep 19, 2023 22:53Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) amesema muungano thabiti na wenye nguvu umeundwa duniani dhidi ya utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
"Marekani haiwezi kustahamili sauti ya vyombo huru vya habari"
Sep 19, 2023 22:51Mkuu wa Shirika la Utangazaji la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran (IRIB) ametoa radiamali yake kwa hatua ya karibuni ya Marekani ya kuviwekea vikwazo vyombo vitatu vya habari vya Iran ikiwemo kanali ya Press TV na kusisitiza kuwa, "Marekani kamwe haiwezi kuvumulia sauti ya vyombo huru vya habari."
-
Rais wa Iran: Kubadilishana wafungwa na Marekani ni hatua ya kibinadamu pekee
Sep 19, 2023 10:22Rais Ebrahim Raisi wa Iran anasema mabadilishano ya wafungwa yaliyofanyika kati ya Iran na Marekani yalifanywa kwa misingi ya kibinadamu tu.