-
UNESCO yaziweka 'Caravanserai' za kihistoria za Iran kwenye orodha yake ya turathi za dunia
Sep 19, 2023 09:47Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO) limeongeza Caravanserai' 54 za kihistoria za Iran katika orodha yake ya maeneo ya turathi za dunia.
-
Mahudhurio ya Rais Raisi katika mkutano wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa
Sep 19, 2023 08:13Rais sayyid Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, kwa mara pili akiwa kiongozi wa serikali, ameelekea nchini Marekani kuhutubia kikao cha 78 cha Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa.
-
Rais Raisi akutana na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa New York
Sep 19, 2023 04:11Rais Ebrahim Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa wamekutana mjini New York pembeni ya mkutano wa kila mwaka wa Baraza Kuu la UN.
-
Rais Raisi: Kutumia lugha ya mabavu na ubabe dhidi ya taifa la Iran ni wenzo usio na tija
Sep 18, 2023 23:52Rais Ebrahim Raisi amesema, ingepasa Marekani iwe hadi sasa imeshafahamu kwamba kutumia lugha ya mabavu, iwe ni kwa sura ya uwekaji vikwazo au kwa kutoa vitisho dhidi ya taifa la Iran, hakuiletei tija yoyote.
-
Wafungwa wa Iran na Marekani waachiliwa huru
Sep 18, 2023 07:16Wafungwa wa Iran na Marekani wameachiliwa huru leo baada ya mataifa haya mawili kutekeleza makubaliano ya kubadiliishana wafungwa.
-
Raisi: Maamuzi ya UN yanapasa kuwa huru bila ya kuathiriwa na madola makubwa
Sep 18, 2023 04:44Rais wa Jamhuri ya Kislamu ya Iran amesema kuwa, maamuzi yanayochukuliwa na Umoja wa Mataifa yanapasa kuwa huru bila ya kuathiriwa na ushawishi wa madola makuu.
-
Meja Jenerali Baqeri: Mhimili wa muqawama hauihitaji tena Iran
Sep 18, 2023 04:43Mkuu wa Komandi Kuu ya Vikosi vya Ulinzi vya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameashiria uwezo wa mhimili wa muqawama katika kuunda silaha na kusema hii leo mhimili huo umejitosheleza na hauhitajii Iran.
-
Abdollahian: Kuzingatia mhimili wa muqawama ni sera za kimsingi za nchi yetu
Sep 17, 2023 10:30Hussein Amir-Abdollahian, Waziri wa Mashauri yaa Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, kuzingatia mhimili wa muqawama ni sera za kimsingi za Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Kuongezeka mabadilishano ya kibiashara kati ya Iran na Tanzania
Sep 17, 2023 10:30Mkuu wa Kituo cha Biashara cha Iran na Tanzania amesema kuwa, kufanyika maonyesho ya kwanza ya kipekee ya uwezo wa usafirishaji wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran nchini Tanzania kuwa jukwaa linalofaa zaidi la kuongeza ufahamu wa bidhaa za Iran katika nchi za Afrika Mashariki.
-
Rais Steinmeier: Uislamu ni dini ya Ujerumani
Sep 17, 2023 06:34Rais Frank-Walter Steinmeier wa Ujerumani alisema Jumamosi kwamba Uislamu ni dini ya Ujerumani huku kukiwa na ongezeko la ubaguzi wa rangi na chuki dhidi ya Uislamu inayochochewa na propaganda za vikundi vya mrengo mkali wa kulia na vyama ambavyo vimetumia vibaya mzozo wa wakimbizi na kujaribu kuzua hofu dhidi ya wahamiaji.