-
Waziri wa ulinzi wa Iran asema vita haitatokea katika eneo
Sep 13, 2023 04:41Waziri wa ulinzi wa Iran amesema katika mjibizo aliotoa kuhusiana na mivutano iliyozuka kati ya Jamhuri ya Azerbaijan na Armenia kwamba vita havitatokea katika eneo.
-
Iran yaitandika Angola 4-0 katika Fifa Day
Sep 13, 2023 00:46Timu ya taifa ya soka ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imeitandika timu ya soka ya taifa ya Angola mabao 4 kwa sifuri katika mechi ya kirafiki iliyochezwa katika dimba la Azadi mjini Tehran.
-
Rais Raisi: Fedha za Iran zilizoachiliwa zitatumika kukidhi mahitaji ya watu wa Iran
Sep 12, 2023 23:07Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema: Fedha za zilizoachiliwa za Iran zitatumika popote zitakapohitajika.
-
Mpango wa Marekani: Kuanzisha mgogoro nchini Iran
Sep 12, 2023 22:57Baada ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran mwaka 1979 na kuasisiwa Jamhuri ya Kiislamu nchini Iran, Marekani ilichukua nafasi ya kiongozi wa kambi ya Magharibi ambayo siku zote imekuwa ikijaribu kuchukua nafasi ya hegemonia (mamlaka ya kutoa amri) katika eneo la Asia Magharibi.
-
Rais wa Iran atuma salamu za rambirambi kwa taifa Libya kufuatia maafa ya mafuriko
Sep 12, 2023 10:44Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametuma salamu za rambirambi kwa Waziri Mkuu na wananchi wa Libya kutokana na vifo vya maelfu ya watu nchini huko vilivyosababishwa na Kimbunga Daniel kilichoikumba nchi hiyo na kuzusha mafuriko makubwa.
-
Tehran na Washington kuendelea kubadilishana wafungwa
Sep 12, 2023 10:44Matthew Miller, Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani ametangaza kuwa Tehran na Washington zitaendelea na mchakato wa kubadilishana wafungwa.
-
'Wadukuzi wa Iran' wapenya kwenye mitandao ya makampuni zaidi ya 30 ya Israel
Sep 12, 2023 02:58Tovuti ya Israel ya Ynetnews imeripoti kuwa wadukuzi wa Iran wamefanikiwa kupenya kwenye mitandao ya makampuni zaidi ya 30 ndani ya utawala huo haramu wa Kizayuni.
-
Brigedia Jenerali Heydari: Majeshi ya Iran yamesambaratisha haiba bandia ya Marekani
Sep 11, 2023 23:02Kamanda wa Kikosi vya Nchi Kavu vya Jeshi la Iran amesema kuwa, majeshi ya Iran ya Kiislamu yamesambaratisha haiba bandia ya Marekani kutokana na kujitolea muhanga kwao na kufanya kazi kwa bidhii kubwa bila ya kuchoka.
-
Kiongozi Muadhamu: Tuna nia ya kweli isiyotetereka katika kupambana vilivyo na adui
Sep 11, 2023 10:32Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu leo Jumatatu ameonana na wananchi wa mikoa miwili ya "Sistan na Baluchistan" na ule wa "Khorasan Kusini" na kusisitiza kwamba, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imesimama imara na kwa nia isiyotetereka katika kukakbiliana na adui.
-
Balozi mpya wa Saudia mjini Tehran akabidhi hati zake kwa Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran
Sep 10, 2023 23:47Balozi mpya wa Saudi Arabia mjini Tehran amewasilisha rasmi hati zake za utambulisho kwa Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Hossein Amir-Abdollahian.