-
Iran yasikitishwa na zilzala iliyoua maelfu Morocco; kutuma nchini humo misaada ya kibinadamu
Sep 10, 2023 07:25Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema Jamhuri ya Kiislamu ipo tayari kutuma misaada ya kibinadamu nchini Morocco, kufuatia tetemeko kubwa la ardhi lililoua maelfu ya watu.
-
Iran kuunda makombora mapya ya hypersonic kuikabili Israel
Sep 10, 2023 07:08Kamanda wa ngazi ya juu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) amefichua mpango wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran wa kuunda makombora mapya ya hypersonic ambayo anasisitiza kuwa yataufanya utawala wa Kizayuni ulipe gharama kubwa.
-
Mahudhurio ya kwanza rasmi ya Iran katika kikao cha Baraza la Kupambana na Ugaidi la Shanghai; hatua muhimu ya ushirikiano wa kiusalama nje ya mipaka
Sep 10, 2023 04:26Kufuatia uanachama kamili wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Jumuiya ya Ushirikiano ya Shanghai, ujumbe kutoka Iran umeshiriki kwa mara ya kwanza katika mkutano wa 40 wa Baraza la Muundo wa Kieneo wa Kupambana na Ugaidi la jumuiya hiyo.
-
Foreign Affairs: Ayatullah Khamenei ataifanya Iran dola kuu la Asia Magharibi
Sep 10, 2023 01:07Gazeti mashuhuri la Foreign Affairs la nchini Marekani limeandika kuwa Kiongozi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ataifanya nchi hii kuwa dola kuu la Asia Magharibi.
-
Rais Raisi: Iran inapinga mabadiliko yoyote katika mipaka ya eneo
Sep 10, 2023 01:05Rais Ebrahim Raisi amesisitiza kuwa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inapinga vikali aina yoyote ya uzushaji mivutano na kubadilishwa mipaka ya kihistoria ya eneo hili na akabainisha kwamba Tehran iko tayari kutoa mchango wa kuzuia kufanywa mabadiliko yoyote katika hali ya jiopolitiki ya eneo.
-
Iran yaonyesha wasiwasi kwa marufuku ya wasichana Waislamu Ufaransa kuingia shuleni na abaya
Sep 09, 2023 09:05Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran anayehusika na masuala ya wanawake na familia ameeleza kusikitishwa kwake na utekelezwaji wa sheria inayopiga marufuku wasichana wa Kiislamu kuingia shuleni nchini Ufaransa wakiwa wamevaa abaya.
-
Iran: Tutaendeleza mpango wetu wa nyuklia na hatutoathiriwa na mashinikizo ya yeyote
Sep 08, 2023 23:01Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Ira amesema: Tutaendelea mbele na mpango wetu wa amani wa nyuklia na kushirikiana na Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki kwa njia inayojenga na hatutoathiriwa na uingiliaji wa kisiasa, propaganda na mashinikizo ya madola ajinabi.
-
Khatibu wa Sala ya Ijumaa awashukuru Wairaq kwa walivyowakirimu mazuwari wa Arubaini ya Imam Hussein AS
Sep 08, 2023 10:10Khatibu wa Sala ya Ijumaa ya leo mjini Tehran amewashukuru watu na serikali ya Iraq kwa ukarimu walioonyesha kwa mamilioni ya Mazuwari wa Arubaini ya Imam Hussein AS.
-
Iran yalaani shambulio la kigaidi lililoua makumi ya watu Burkina Faso
Sep 08, 2023 04:03Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amelaani vikali shambulio la kigaidi lililouwa makumi ya watu nchini Burkina Faso.
-
Iran: Taarifa ya Japan na Waarabu kuhusu visiwa vitatu haina maana
Sep 07, 2023 23:48Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amekosoa taarifa ya pamoja iliyotolewa na Japan na nchi za Kiarabu kuhusu visiwa vitatu vya Iran vya Bu Musa, Tomb Ndogo na Tomb Kubwa na kusisitiza kuwa taarifa hiyo haina umuhimu wowote.