-
Rais Raisi: Kasi ya mwenendo wa maendeleo ya Iran katika nyuga tofauti inaongezeka
Sep 07, 2023 04:32Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema: Iran inaendelea kwa kasi kupiga hatua za maendeleo katika nyanja za kiuchumi, kijamii na kiutamaduni.
-
Rais Raisi: Ustadi wa taifa adhimu la Iran ni kuvigeuza vikwazo na vitisho kuwa fursa
Sep 06, 2023 23:58Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuwa: ustadi wa taifa adhimu la Iran ni kuvigeuza vikwazo na vitisho kuwa fursa.
-
Kiongozi Muadhamu: Mkisimama kidete mtafika katika kilele cha mafanikio
Sep 06, 2023 08:50Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran amesisitiza katika kumbukumbu ya maombolezo ya Arubaini ya Imam Hussein (as) hapa mjini Tehran ambapo amewahutubu wanachuo kwa kuwaambia ya kwamba, kama mtasimama kidete basi mtafika katika kilele cha mafanikio.
-
Ebrahim Raisi: Mkusanyiko mkubwa wa Arubaini ni dhihirisho la mapenzi makubwa kwa Imam Husain AS
Sep 06, 2023 04:20Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, mkusanyiko mkubwa wa Arubaini ya Imam Husain AS ambao unaambatana na "mashaya" na matembezi ya mamilioni ya watu yakiwemo yale ya kutoka Najaf hadi Karbala nchini Iraq, ni dhihirisho la mapenzi makubwa ya maashiki wa Ahlul Bayt AS, kwa Imam Husain AS.
-
Leo ni Arubaini ya Imam Husain AS, Waislamu wa Iran waungana na Waislamu wengine kuiadhimisha
Sep 05, 2023 23:44Jumatano ya leo ya tarehe 6 Septemba 2023 inasadifiana na maombolezo ya Arubaini ya Imam Husain AS, yaani siku ya 40 tangu Imam Husain AS na wafuasi wake watiifu walipouawa kinyama kwenye jangwa la Karbala mwezi 10 Mfunguo Nne Muharram, mwaka wa 61 Hijria.
-
Waziri wa Ulinzi: Muda wa vikwazo vyote vya silaha dhidi ya Iran utamalizika mwezi ujao wa Oktoba
Sep 05, 2023 09:38Waziri wa Ulinzi wa Iran Brigedia Jenerali Mohammad Reza Ashtiani ametangaza kuwa muda wa vikwazo vyote vya kidhalimu vya silaha ilivyowekewa Jamhuri ya Kiislamu utamalizika mwezi ujao wa Oktoba na kueleza pia utayari wa Iran wa kupanua uhusiano wa kiulinzi na nchi zote zenye misimamo huru.
-
Mabinti wa Iran watwaa ubingwa wa Asia wa mchezo wa Taekwondo
Sep 05, 2023 03:30Duru ya 12 ya Mashindano ya Vijana ya Taekwondo nchini Lebanon ilimalizika Jumatatu kwa timu ya mabinti ya Iran kutwaa taji la ubingwa wa Asia.
-
Iran yarejesha balozi wake Saudia; yasisitizia umuhimu wa ushirikiano wa kieneo
Sep 04, 2023 23:05Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuwa, kuna wajibu wa kuimarishwa ushirikiano wa pande zote wa nchi za eneo hili.
-
Raisi: Mapambano ya nchi za Kiafrika dhidi ya ukoloni ni ishara ya mwamko na kuwa macho
Sep 04, 2023 10:36Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amepongeza kusimama kidete na mapambano ya nchi za Kiafrika dhidi ya ukoloni na ugaidi, na kuyataja kuwa ni ishara ya mwamko, kuwa macho na utambuzi sahihi wa mahitaji ya zama ya nchi hizo.
-
Mwakilishi wa Sheikh Zakzaky: Ayatullah Khamenei ameifundisha dunia muqawama na kusimama kidete
Sep 04, 2023 04:21Mwakilishi wa Sheikh Ibrahim Zakzaky, Katibu Mkuu wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria amesema kuwa, Ayatullah Ali Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran ameifundisha dunia nzima muqawama na kusimama kidete.