-
Khatibu wa Sala ya Ijumaa: Kadhia ya kupewa sumu wanafunzi ifuatiliwe, wahusika waadhibiwe
Mar 10, 2023 08:05Khatibu wa Sala ya Ijumaa ya leo mjini Tehran amesema, Idara ya Mahakama iwachukulie hatua kali waliohusika na kuwapa sumu wanafunzi.
-
Abdollahian: Umefika wakati vikosi vamizi viondoke Syria mara moja
Mar 10, 2023 04:24Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema vikosi vya nchi ajinabi vinapaswa kuondoka katika ardhi ya Syria haraka iwezekanavyo.
-
US yaziwekea vikwazo taasisi 39 kwa kuisaidia Iran 'kukwepa' vikwazo vya kifedha
Mar 10, 2023 04:06Marekani imetangaza kuyawekea vikwazo makumi ya mashirika kwa tuhuma za kuisaidia Iran kukwepa vizingiti vya Washington vya kuiweka Tehran nje ya mfumo wa kimataifa wa fedha.
-
Eslami: Wamagharibi wameikubali Iran ya nyuklia
Mar 09, 2023 22:57Mkuu wa Shirika la Nishati ya Atomiki la Iran (AEOI) amesema kuwa leo hii Wamagharibi wameikubali Iran kuwa nchi yenye nishati ya nyuklia na kusisitiza kuwa, chaguo pekee lililobakia kwa Magharibi ni kukabiliana na Iran kidiplomasia.
-
Rais Raisi asisitizia haja ya kuimarishwa uhusiano wa Iran na Iraq
Mar 08, 2023 23:43Rais Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametilia mkazo umuhimu wa kuimarishwa uhusiano wa Iran na Iraq katika nyuga tofauti.
-
Kan'ani: Ujerumani iombe radhi kwa jinai zake dhidi ya Iraq, Iran
Mar 08, 2023 06:38Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amelaani matamshi yaliyotolewa na Annalena Baerbock, Waziri wa Mambo ya Nje wa Ujerumani dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu katika safari yake ya hivi karibuni nchini Iraq.
-
Hali mbaya ya haki za wanawake katika nchi za Magharibi na madai ya uongo ya nchi hizo dhidi ya Iran
Mar 08, 2023 04:43Kwa mtazamamo wa harakaharaka, hali ya wanawake katika nchi za Magharibi zinazodai kutetea haki za wanawake inaonyesha kuwa wanawake na wasichana katika nchi hizo wanakabiliwa na hali mbaya sana ambapo haki zao za kibinadamu zinapuuzwa na kukiukwa wazi wazi.
-
Maadhimisho ya siku ya kuzaliwa Imam Mahdi AS yafanyika kote nchini Iran
Mar 08, 2023 00:20Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imeungana na maeneo mengine ya ulimwengu wa Kiislamu hii leo kuadhimisha kumbukumbu ya kuzaliwa Imam wa Zama, Mahdi (AF).
-
Amir-Abdollahian : Iran katu haitaacha kuunga mkono Palestina, muqawama
Mar 07, 2023 08:43Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Hossein Amir-Abdollahian amesema Jamhuri ya Kiislamu kamwe haitarudi nyuma hata chembe moja kuhusu msimamo wake wa kuunga mkono muqawama na kupigania ukombozi wa Palestina.
-
Mapitio ya mkutano wa kwanza wa ushirikiano wa kiuchumi wa Iran na mataifa ya Afrika magharibi
Mar 07, 2023 07:58Katika siku ya kwanza ya mkutano wa ushirikiano wa kiuchumi wa Iran na mataifa ya Afrika magharibi kumetiwa saini hati 20 za ushirikiano katika nyuga tofauti zikiwemo za kisiasa, kiuchumi, kibiashara na kiutalii.