-
Iran: Kusambaratika Israel hakuepukiki licha ya uungaji mkono wa US
Feb 23, 2023 23:37Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema utawala haramu wa Israel upo katika ncha ya kusambaratika na kutokomea, licha ya uungaji mkono.
-
Kiongozi Muadhamu: Jengo imara la uungaji mkono wa wananchi ni hoja kamili kwa wote
Feb 23, 2023 07:57Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu leo Alkhamisi ameonana na wajumbe wa Baraza la Wataalamu wanaomchagua na kusimamia kazi za Kiongozi Muadhamu na kusisitiza kuwa, jengo madhubuti na imara la uungaji mkono wa wananchi kwa Jamhuri ya Kiislamu ni hoja kamili kwa viongozi na maulamaa wote.
-
Hatua iliyochukuliwa haraka na Iran ya kujibu mapigo kwa vikwazo vipya vya Umoja wa Ulaya
Feb 23, 2023 04:47Katika kukabiliana na vikwazo vipya vya Umoja wa Ulaya dhidi ya Iran, Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu imetoa orodha mpya ya vikwazo dhidi ya watu na taasisi kadhaa za Umoja wa Ulaya na Uingereza.
-
Kuwasili nchini Iran ujumbe wa kiuchumi wa Senegal
Feb 23, 2023 04:07Ujumbe wa ngazi ya juu wa kiuchumi wa Senegal ukiongozwa na mshauri mkuu wa rais na mkuu wa chama cha wafanyakazi cha nchi hiyo umeasili mjini Tehran.
-
Haki za binadamu ni mhanga wa siasa za nchi za Magharibi
Feb 23, 2023 03:39Mkuu wa Masuala ya Kimataifa ambaye pia ni Katibu wa Idara ya Masuala ya Haki za Binadamu ya Iran, amesema siasa zinadhuru pakubwa suala zima la haki za binadamu na kuongeza kuwa vyombo vya habari vinapaswa kuheshimu misingi ya tasnia ya uandishi habari na kubainisha ukweli wa mambo mbali kabisa na mifungamano ya kisiasa.
-
Mkuu wa Kikosi cha Quds cha IRGC: Iran imezuia njama za Marekani za kudhibiti Asia Magharibi
Feb 22, 2023 23:03Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) amesema kuwa, Iran imefanikiwa kukwamisha majaribio ya Marekani ya kutaka kujikita katika eneo la Magharibi mwa Asia na kuyaweka mataifa ya eneo hilo chini ya udhibiti wake.
-
Eslami: Maafisa wa IAEA wako Tehran kwa ajili ya ukaguzi na kufanya mazungumzo
Feb 22, 2023 23:03Mkuu wa Shirika la Nishati ya Atomiki la Iran amesema: "Maafisa wa Shirika la Kimataifa la Nishati ya Atomiki (IAEA) wamekuwa wakifanya mazungumzo, kutembelea na kukagua vituo vya nyuklia vya Iran tangu Jumanne iliyopita."
-
Iran yapanga vikwazo vya kulipiza kisasi dhidi EU, Uingereza
Feb 22, 2023 10:15Iran imetangaza kuweka vikwazo vya kulipiza kisasi dhidi ya idadi kadhaa ya watu binafsi na mashirika katika Umoja wa Ulaya (EU) na Uingereza.
-
Amir-Abdollahian: Mlango wa mazungumzo bado uko wazi
Feb 22, 2023 03:00Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran alisema jana Jumanne mbele ya Kamisheni ya Usalama wa Taifa na Sera za Kigeni ya Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) kwamba, mlango wa mazungumzo bado uko wazi na bado Tehran inaendelea kubadilishana ujumbe mbalimbali na pande husika za mazungumzo hayo kupitia wapatanishi.
-
Mshauri mkuu wa Rais wa Senegal anawasili Tehran leo akiongoza ujumbe wa ngazi za juu wa nchi yake
Feb 21, 2023 23:43Kaimu wa Mkuu wa Klabu ya Biashara ya Iran na Afrika amesema kuwa, ujumbe wa ngazi ya juu wa kiuchumi wa Senegal ukiongozwa na mshauri mkuu wa rais na mkuu wa muungano wa wafanyabiashara wa nchi hiyo unawasili mjini Tehran leo kwa ajili ya kuimaimarisha ushirikiano wa kiuchumi wa pande mbili.