-
Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu: Shambulio la kijeshi dhidi ya Syria linawanufaisha magaidi
Jul 19, 2022 06:10Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesisitiza ulazima wa kulindwa ardhi yote ya Syria na kusema: Shambulio lolote la kijeshi katika eneo la kaskazini mwa Syria litazidhuru Uturuki, Syria na eneo zima na Asia Magharibi na kuwanufaisha magaidi.
-
Rais Raisi amlaki rasmi Rais Erdogan wa Uturuki mjini Tehran
Jul 19, 2022 03:39Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amemlaki rasmi Rais wa Uturuki katika Ikuluu ya Saad Abad hapa Tehran.
-
Rais Putin wa Russia anawasili Tehran leo
Jul 18, 2022 23:18Rais Vladimir Putin wa Russia leo Jumanne anawasili Tehran, mji mkuu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwa lengo la kushiriki katika kikao cha pande tatu baina ya Russia, Iran na Uturuki.
-
Iran ya Kiislamu yazama katika sherehe na shangwe za sikukuu ya Ghadir Khum
Jul 18, 2022 06:45Miji na maeneo mbalimbali ya Iran ya Kiislamu leo umegubikwa na sherehe, shangwe na furaha katika maadhimisho ya sikukuu ya Ghadir.
-
Kan'ani: Biden anapayukapayuka ili kuiridhisha Tel Aviv
Jul 18, 2022 06:38Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Iran amesema kuwa Rais wa Marekani, Joe Biden, anapayukapayuka akitoa madai kwamba Iran inataka kumiliki makombora ya nyuklia ili kuuridhisha utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Iran yaipongeza Iraq kwa kushajiisha mazungumzo katika eneo
Jul 18, 2022 03:32Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran ameipongeza Iraq kwa nafasi yake athirifu na jitihada zake za kushajiisha utumiaji wa mazungumzo kwa ajili ya kujaribu kutatua matatizo na changamoto zinaolikabili eneo hili la Asia Magharibi.
-
Kiongozi Muadhamu atangaza msamaha kwa wafungwa kwa mnasaba wa Sikukuu ya Ghadir
Jul 17, 2022 23:15Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ameidhinisha pendekezo la Jaji Mkuu wa Idara ya Mahakama ya Iran, Gholam Hossein Mohseni Ejei la kupunguziwa vifungo au kuachiwa huru wafungwa zaidi ya 2,000 wa Kiirani.
-
Kamal Kharrazi: Iwapo Iran itashambuliwa, tutapiga ndani kabisa ya utawala wa Kizayuni
Jul 17, 2022 22:01Mkuu wa Baraza la Kistratijia la Mahusiano ya Kigeni la Iran amesema: Iwapo vituo nyeti vya Iran vitashambuliwa tutalenga ndani kabisa ya utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Kuanza safari ya Rais wa Uturuki mjini Tehran
Jul 17, 2022 21:57Rais Tayyip Erdoğan wa Uturuki Recep ataswasili hapa mjini Tehran leo Jumatatu jioni (Julai 18) akiongoza ujumbe wa ngazi za juu wa maafisa wa kisiasa na kiuchumi wa nchi yake ikiwa ni katika kujibu mwaliko rasmi wa Rais Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Marandi: Makubaliano ya Marekani na Iran ni hatua erevu ya kuzuia mgogoro wa nishati
Jul 17, 2022 07:21Mohammad Marandi, mchambuzi mwandamizi wa masuala ya kisiasa na mitaala kuhusu Marekani amesema makubaliano kati ya Marekani na Iran ni hatua erevu ambayo kama itachukuliwa itazuia kutokea mgogoro wa nishati katika nchi za Magharibi.