-
Iran: Tutaendelea na mazungumzo bila ya kufumbia macho haki zetu zilizo wazi
Jun 17, 2022 20:52Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema kuwa, Jamhuri ya Kiislamu itaendelea na mazungumzo, haitatoka kwenye mkondo wa kuyafikisha kwenye tija mazungumzo hayo na haitofumbia macho haki zake zilizo wazi.
-
Raisi: Vikwazo vipya vinaonesha Iran ina haki ya kutoiamini Marekani
Jun 17, 2022 07:25Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema hatua ya Marekani kwa upande mmoja kudai kuwa ina nia ya kweli ya kufanya mazungumzo na Iran na wakati huohuo inatangaza vikwazo vipya dhidi ya taifa hili kwa upande mwingine, inaonesha wazi kuwa Tehran ina haki kutoiamini Washington.
-
Hujjatul Islam Akbari: Umma upambanue habari za kweli na urongo za vyombo vya habari
Jun 17, 2022 07:00Khatibu wa Muda wa Swala ya Ijumaa iliyoswaliwa leo hapa mjini Tehran ameuasa umma wa Kiislamu ujue kupambanua na kutofautisha habari za kweli na zisizo sahihi zinazotangazwa au kuchapishwa na vyombo mbalimbali vya habari.
-
Rais Nicolas Maduro: Venezuela na Iran ni wahanga wa vikwazo haramu
Jun 17, 2022 03:27Rais Nicolas Maduro wa Venezuela amesema kuwa, Venezuela na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ni wahanga wa vikwazo vilivyo kinyume cha sheria.
-
Mkuu wa Shirika la Nishati ya Atomiki: Makelele ya kisiasa dhidi ya Iran hayaathiri chochote
Jun 16, 2022 23:14Mkuu wa Shirika la Nishati ya Atomiki la Iran AEOI amesema: makelele ya kisiasa na mashinikizo dhidi ya Iran hayakuwa na matokeo yoyote huko nyuma na hivi sasa pia hayatakuwa na athari yoyote.
-
Iran: Hatutoruhusu kufanikiwa njama za Wazayuni za kueneza chuki dhidi yetu
Jun 16, 2022 06:13Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran katika masuala ya kisiasa amesema kuwa, Jamhuri ya Kiislamu haitoruhusu kufanikiwa njama za Wazayuni za kueneza chuki chidi ya Tehran.
-
Sisitizo la Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu juu ya kuimarishwa mahusiano ya Iran na Turkmenistan
Jun 16, 2022 04:58Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kislamu alisema Jumatano ya jana wakati alipokutana na Rais Serdar Berdimuhamedow wa Turkmenistan na ujumbe aliofutana nao kwamba, kustawisha na kuimarishwa kadiri inavyowezekana uhusiano wa Iran na Turkmenistan ni kwa maslahi ya nchi mbili.
-
Jenerali Ali Jafari: Israel imepata mapigo kutoka Iran lakini haisemi
Jun 16, 2022 03:47Kamanda mkuu wa zamani wa Kikosi cha Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) amefichua kuwa Iran imetekeleza oparesheni nyingi za siri za kuushambulia utawala wa Israel lakini utawala huo umejizuia kutangaza mapigo ambayo umepata kutoka Iran.
-
Iran yamuonya mkuu wa IAEA asifanye 'mambo kuwa magumu'
Jun 15, 2022 22:51Msemaji wa Shirika la Atomiki la Iran amemshauri Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Kimataifa la Nishati ya Atomiki (IAEA) kujizuia kufanya mambo kuwa magumu kwa kutoa matamshi ya kisiasa.
-
Kiongozi Muadhamu: Sera za Iran zinatoa kipaumbele juu ya kuimarisha uhusiano na majirani
Jun 15, 2022 07:57Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kipaumbele katika sera za kigeni za Jamhuri ya Kiislamu ya Iran hivi sasa ni kuimarisha uhusiano na mataifa jirani.