-
Amir-Abdollahian aonya kuhusu azimio dhidi ya Iran katika IAEA
Jun 06, 2022 03:05Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Hossein Amir-Abdollahian amezionya nchi ambazo zinalisukuma Shirika la Kimataifa la Nishati ya Atomiki (IAEA) lipitishe azimio dhidi ya Iran na kusema zitabeba dhima ya yatakayofuata hatua kama hiyo.
-
HAMAS: Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran ni tumaini la wanyonge ulimwenguni
Jun 05, 2022 23:25Mjumbe wa ngazi za juu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS ameashiria himaya na uungaji mkono wa kila upande wa madola ya Magharibi kwa utawala haramu wa Israel na kusema kuwa, mkabala na hilo, Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran yamegeuka na kuwa tumaini la wanyonge ulimwenguni.
-
Iran yamuita balozi wa India kulalamikia kauli za kumvunjia heshima Mtume Muhammad SAW
Jun 05, 2022 23:06Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imemuita balozi wa India mjini Tehran kulalamikia vikali matamshi dhidi ya Mtume Mutukufu wa Uislamu, Muhammad SAW ambayo yalitolewa katika mdahalo wa televisheni huko India na kuibua hasira miongoni mwa Waislamu duniani.
-
Khatibzadeh: Visiwa Vitatu vya Ghuba ya Uajemi 'ni ardhi ya daima ya Iran'
Jun 05, 2022 05:46Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema visiwa vitatu vya Ghuba ya Uajemi vitabakia kuwa ardhi ya Iran daima.
-
Kamanda: Maadui wamekiri kusambaratika njama zao dhidi ya Iran
Jun 05, 2022 05:22Kaimu Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) amesisitiza kuwa, "maadui wamekiri kuwa njama zao dhidi ya Iran zimefeli na kusambaratika."
-
Mtazamo wa Kiongozi Muadhamui; Jamhuri ya Kiislamu inapinga dhulma na kiburi na inakubaliana na umaanawi
Jun 05, 2022 05:18Akizungumza hapo jana Jumamosi katika maadhimisho ya mwaka wa 33 wa kuaga dunia Imam Khomeini (MA), mwanzilishi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Ayatullah Ali Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran amesema mapinduzi hayo yaliyoongozwa na Imam Khomeini ndiyo mapinduzi makubwa zaidi katika historia ya mapinduzi mengine yote duniani.
-
Kumbukumbu za Khordad 15 kufanyika leo katika miji 900 ya Iran
Jun 04, 2022 22:09Kumbukumbu za Khordad 15 ambazo ni maarufu kwa jina la "Mapambano ya Siku ya Allah ya Khorad 15" yanafanyika leo Jumapili katika miji 900 ya kona zote za Iran.
-
Kiongozi Muadhamu: Maadui hawataweza kuwachonganisha wananchi wa Iran na Mfumo wa Kiislamu
Jun 04, 2022 06:32Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema, katika Jamhuri ya Kiislamu, nafasi ya wananchi ni yenye umuhimu sana na maadui hawataweza kuwachonganisha wananchi na Mfumo wa Kiislamu.
-
Fikra za Imam Khomeini (MA); ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu na kuanza mwamko wa Kiislamu
Jun 04, 2022 04:35Fikra za Imam Khomeini MA za kupambana na ubeberu, mbali na kupelekea kupata ushindi Mapinduzi ya Kiislamu nchini Iran, zimepelekea pia kupatikana mwamko wa Kiislamu katika eneo hili zima na duniani kwa ujumla.
-
Kiongozi Muadhamu: Imam Khomeini (MA) ni roho ya Jamhuri ya Kiislamu
Jun 04, 2022 03:35Kiongozi Mudhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ameshiriki katika Hauli ya mwaka wa 33 tokea alipoaga dunia muasisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na kusema, "Imam Khomeini MA alikuwa roho ya Jamhuri ya Kiislamu'