-
Amir-Abdollahian: Ikiwa Marekani itazingatia uhalisia wa mambo tutafikia mwafaka mzuri
Mar 16, 2022 04:30Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema "ikiwa Marekani itazingatia uhalisia wa mambo tutaweza kufikia mwafaka mzuri, imara na wa kudumu kwa uungaji mkono wa pande zote katika mazungumzo ya Vienna."
-
Ayatullah Makarem Shirazi: Unyongaji wa umati wa Saudia umezijeruhi nyoyo za Waislamu wote huru
Mar 15, 2022 21:07Ayatullah Naser Makarem Shirazi, mmoja wa Marjaa Taqlidi wa mjini Qum nchini Iran amesema kuwa, hatua ya kuwanyonga makumi ya vijana Waislamu tena kwa sura ya kinyama na ya kikatili imezihunisha nyoyo za Waislamu wote huru ulimwenguni.
-
Amir-Abdollahian: Kustawisha uhusiano na Russia kuna umuhimu kwa Iran
Mar 15, 2022 10:14Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema, bila kujali matukio na mabadiliko yoyote yanayojiri kimataifa, kustawisha uhusiano na Russia kuna umuhimu kwa Jamhuri ya Kiislamu.
-
Amir Abdollahian: Iran inaunga mkono juhudi za kutatua mzozo wa Ukraine
Mar 15, 2022 04:46Waziri wa Mambo ya Nje ya Iran amesisitiza kuwa, Jamhuri ya Kiislamu inaunga mkono juhudi za kisiasa za kuupatia ufumbuzi mgogoro wa Ukraine.
-
Raisi: Kimya cha nchi zinazodai kupigania haki za binadamu lazima kilaaniwe
Mar 14, 2022 23:54Rais Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amelaumu vikali misimamo ya nyuso mbili ya nchi na mashirika yanayodai kupigania haki za binadamu duniani na kusema kuwa, kimya cha nchi na mashirika hayo lazima kilaaniwe.
-
Baraza Kuu la Haki za Binadamu Iran: Saudia iwajibishwe kwa kunyonga watu wasio na hatia
Mar 14, 2022 10:23Katibu wa Baraza Kuu la Haki za Binadamu la Iran amezungumzia kunyongwa kwa watu 81 nchini Saudi Arabia, na kusema kuwa, Riyadh inapaswa kuwajibishwa kwa mauaji ya hivi majuzi na kujibu, watu hao wamehukumiwa kifo kwa kosa gani?
-
Shambulio la makombora ya jeshi la SEPAH dhidi ya kituo cha MOSSAD Erbil Iraq
Mar 14, 2022 10:19Jumapili ya jana tarehe 13 Machi, Kitengo cha Kupambana na Ugaidi cha Eneo la Kurdistan ya Iraq kilitangaza kuwa, usiku wa kumkia jana kambi mbili za kutoa mafunzo za Shirika la Ujasusi la Israel (MOSSAD) zimeshambuliwa kwa makombora ya balestiki katika eneo la Erbil, kaskazini mwa Iraq.
-
Muhammad Eslami: Shirika la Nishati ya Atomiki la Iran ni kiranja wa kukabiliana na ulimwengu wa Kiistikbari
Mar 14, 2022 01:07Mkuu wa Shirika la Nishati ya Atomiki la Iran amesisitiza kuwa, shirika hilo ni kiranja wa kukabiliana na ulimwengu wa kiistikbari.
-
Walinzi wa Mapinduzi: Kituo cha kimkakati cha njama za Wazayuni kimepigwa kwa makombora ya IRGC
Mar 13, 2022 08:59Taarifa ilitotolewa na Idara ya Uhusiano wa Umma ya Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu nchini Iran (IRGC) imetoa habari ya kulengwa kwa makombora kituo cha kistratijia cha njama na uovu cha Wazayuni na kusisitizia kuwa: Kurudiwa kwa uovu wa aina yoyote kutakabiliwa na jibu kali, la pande zotei na haribifu.
-
Iran yaikosoa Marekani kwa kuibua maudhui mpya katika mazungumzo ya Vienna
Mar 13, 2022 04:28Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran ameijia juu Marekani kwa kuibua maudhui nyingine mpya kwenye mazungumzo ya Vienna kati ya Jamhuri ya Kiislamu na kundi la 4+1, ambayo lengo lake kuu ni kuondolewa Tehran vikwazo vya kidhalimu.