-
Iran yauonya vikali utawala wa Kizayuni dhidi ya jinai zake za kihaini
Mar 12, 2022 22:55Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Iran katika Umoja wa Mataifa ameashiria shambulizi la kigaidi la Israel lililopelekea kuuawa shahidi askari wawili wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) nchini Syria hivi karibuni, na kuuonya vikali utawala huo wa Kizayuni dhidi ya mwenendo wake huo wa kufanya jinai za kihaini.
-
Waturuki wabeba picha za Shahidi Soleimani wakiandamana dhidi ya Israel
Mar 12, 2022 09:54Wananchi wa Uturuki jana Ijumaa, kwa mara nyingine tena walimiminika mabarabarani katika maandamano ya kulaani ziara tata ya rais wa utawala wa Kizayuni wa Israel nchini mwao.
-
Khatibzadeh: Mfumo wa kimataifa unabadilika
Mar 12, 2022 09:25Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran ameashiria vita vya Russia na Ukraine na kueleza kuwa mfumo wa kimataifa uko katika hali ya mageuzi na kubadilika.
-
Hatibu wa Swala ya Ijumaa Tehran akosoa ubaguzi wa nchi za Magharibi katika kadhia ya Ukraine
Mar 11, 2022 08:20Hatibu wa Swala ya Ijumaa ya leo mjini Tehran amekosoa sera za kibaguzi za nchi za Magharibi za kuwatambua wazugu na watu weupe kutoka Ukraine kuwa ndio boza zaidi ya watu wa rangi nyingine na kusema hilo ni doa jeusi na la kufedhehesha.
-
Mtazamo wa Kiongozi Muadhamu; sisitizo kwa nguvu za taifa na upeo wa mikakati ya Jamhuri ya Kiislamu
Mar 11, 2022 05:08Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesisitiza kuwa, nguvu za taifa ni jambo muhimu mno kwa kila nchi na kwamba kila taifa kama linataka kufaidia kweli na uhuru wake, heshima na kustafidi na vyanzo vyake muhimu kwa uhuru na kufanikiwa kusimama imara mbele ya matakwa ya wengine, taifa hilo lazima liwe na nguvu, vinginevyo muda wote litaishi katika udhaifu, udhalili na woga maadamu linahofia tamaa za watu baki.
-
Iran yapinga tuhuma zisizo na msingi za Arab League
Mar 11, 2022 04:43Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amekadhibisha madai yaliyotolewa dhidi ya taifa hili katika mkutano wa mawaziri wa mambo ya nje wa Jumuiya ya Nchi za Kiarabu.
-
Iran: Kujitakia makuu Marekani kusiathiri masuala muhimu Vienna
Mar 10, 2022 23:44Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema masuala ya msingi na kuondolewa Iran vikwazo havipaswi kuathiriwa na tabia ya kujitakia makuu Marekani.
-
Rais Raisi asisitiza kufuata njia iliyojaa nuru ya Imam Khomeini (MA)
Mar 10, 2022 04:42Rais Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema hivi sasa, zaidi ya wakati wowote ule, nchi inahitaji kufuata njia iliyojaa nuru na yenye uwokovu ya Imam Khomeini MA.
-
Mkuu wa timu ya mazungumzo ya Iran arejea Vienna
Mar 10, 2022 00:41Mkuu wa timu ya mazungumzo ya Iran amerejea Vienna mji mkuu wa Austria ili kuendelea na mazungumzo ya nyuklia.
-
Kiongozi Muadhamu: Kuiridhia Marekani ni kosa kubwa na pigo kwa nguvu za kisiasa
Mar 10, 2022 08:15Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema, kuiridhia Marekani au dola jengine lolote lile kwa ajili ya kuepukana na vikwazo ni kosa kubwa na pigo kwa nguvu za kisiasa.