-
IRGC: Israel italipa gharama ya kuua shahidi Wairani wawili huko Syria
Mar 09, 2022 06:54Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) limesema hakuna shaka utawala wa Kizayuni wa Israel utalipa gharama kubwa kwa jinai yake ya kutekeleza shambulizi lililopelekea kuuawa shahidi askari wawili wa SEPAH nchini Syria.
-
Iran yalaani shambulio la roketi la Israel dhidi ya Damascus, Syria
Mar 09, 2022 06:50Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amelaani vikali shambulizi la roketi la utawala haramu wa Israel dhidi ya mji mkuu wa Syria, Damascus.
-
Ali Shamkhani: Kuna sababu mbalimbali zinazozifanya Iran na Uzbekistan ziwe na ushirikiano
Mar 09, 2022 04:02Katibu wa Baraza Kuu la Usalama wa Taifa la Iran amesema kuwa, kuna haja ya kustawishwa uhusiano wa Iran na Uzbekistan katika nyanja mbalimbali.
-
Iran ni nchi ya kwanza ya Kiislamu kujirushia satalaiti katika anga za mbali
Mar 09, 2022 01:04Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) amesema kuwa na uwezo wa kujirushia satalaiti katika anga za mbali ni kigezo cha nchi iliyostawi duniani na kuongeza kuwa, pamoja na kuwepo vikwazo vingi vya kimataifa, vijana wa taifa la Iran katika IRGC wamefanikiwa kurusha satalaiti katika anga za mbali.
-
Jeshi la SEPAH larusha satalaiti ya Nour-2 ya kijeshi katika anga za mbali
Mar 08, 2022 07:08Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (SEPAH) limerusha kwa mafanikio makubwa satalaiti ya Nour-2 ya kijeshi ya Iran katika anga za mbali.
-
Iran: Hatutoruhusu chochote kikwamishe manufaa yetu ya kitaifa katika mazungumzo ya Vienna
Mar 07, 2022 23:07Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema kuwa, Tehran itaendelea kusimama imara katika kulinda na kuchunga mipaka yake myekundu na haitoruhusu jambo lolote la nje kuhatarisha na kukwamisha manufaa ya kitaifa ya Jamhuri ya Kiislamu katika mazungumzo ya Vienna yanayohusiana na kuondolewa vikwazo Iran.
-
Khatibzadeh: Iran inachukua maamuzi kwa mujibu wa nyenendo za Marekani
Mar 07, 2022 08:55Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema kuwa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inachukua maamuzi kwa mujibu wa nyenendo na si kwa mujibu wa jumbe zisizo wazi za Marekani katika mazungumzo ya Vienna.
-
Rais Ebrahim Raisi: Wananchi wa Ukraine ni wahanga wa siasa za kishetani za Marekani
Mar 07, 2022 00:52Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, wananchi wa Ukraine wamekuwa wahanga wa siasa za kishetani za Marekani.
-
Ulyanov: Ziara ya Rafael Grossi nchini Iran imefanikiwa
Mar 07, 2022 00:47Mwakilishi wa Kudumu wa Russia katika taasisi za kimataifa zenye makao yake mjini Vienna, Austria amesema kuwa safari ya Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Nyuklia (IAEA) nchini Iran imefanikiwa.
-
Kiongozi Muadhamu asisitiza udharura wa kustawishwa nishati safi
Mar 06, 2022 08:19Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesisitiza juu ya udharura wa kustawishwa nishati safi.