-
Serikali ya Iran: Vita si suluhisho la mgogoro wowote ule
Feb 25, 2022 03:26Msemaji wa serikali ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, vita si suluhisho la tatizo lolote lile. Amesema hayo ikiwa ni kutangaza msimamo wa serikali ya Iran kuhusu vita baina ya Russia na Ukraine huko mashariki mwa Ulaya.
-
Shamkhani: Mgogoro wa Ukraine unapaswa kuwa funzo kwa madola ya Magharibi
Feb 25, 2022 03:26Katibu wa Baraza Kuu la Usalama wa Taifa la Iran ameandika katika mtandao wa kijamii wa Twitter kwamba, nchi za Magharibi inabidi zipate funzo katika mgogoro wa Ukraine.
-
Iran yapinga kutumiwa haki za binadamu kama chombo dhidi ya nchi zingine
Feb 24, 2022 23:48Katibu wa Baraza la Haki za Binadamu la Iran amekutana na mabalozi wa Russia na China nchini Iran ambapo wametangaza kwa pamoja kupinga kutumiwa vibaya kadhia ya haki za binadamu kama chombo cha kuyashinikiza mataifa mengine.
-
Waziri wa Mambo ya Nje ya Iran: Mgogoro wa Ukraine umesababishwa na uchochezi wa NATO
Feb 24, 2022 11:39Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje wa Iran ametuma ujumbe katika mtandao wa kijamii wa Twitter akisisitiza kuwa chanzo cha mgogoro wa Ukraine ni hatua za kichochezi za Shirika la Kijeshi la Nchi za Magharibi (NATO).
-
Rais Ebrahim Raisi: Azma ya kisiasa ya Iran ni kustawisha uhusiano na mataifa rafiki
Feb 23, 2022 23:47Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, irada ya kisiasa ya serikali ya Jamhuri ya Kiislamu ni kukuza na kustawisha ushirikiano na mataifa rafiki hususan Oman.
-
Iran, Russia, China zapinga kutumiwa vibaya kadhia ya haki za binadamu
Feb 23, 2022 23:34Katibu wa Baraza la Haki za Binadamu la Iran amekutana na mabalozi wa Russia na China nchini Iran ambapo wametangaza kwa pamoja kupinga kutumiwa vibaya kadhia ya haki za binadamu kama chombo cha kuyashinikiza mataifa mengine.
-
Iran haitavuka mistari yake miekundu katika mazungumzo ya Vienna
Feb 23, 2022 10:47Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Hossein Amir-Abdollahian amesema Jamhuri ya Kiislamu imezifahamisha nchi za Magharibi kuwa katu haitavuka mistari yake miekundu katika mazungumzo ya Vienna ambayo yanalenga kuhuisha mapatano ya JCPOA.
-
Iran: Tuko tayari kustawisha uhusiano wetu na nchi za Afrika katika nyuga tofauti
Feb 23, 2022 03:43Rais Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Tehran iko tayari kuimarisha na kustawisha uhusiano wake katika nyuga mbalimbali na nchi za Afrika kama vile kupeleka barani humo uzoefu wake wa kiufundi na kihandisi.
-
Iran: Shabaha yetu ni kufikia mapatano mazuri katika mazungumzo ya Vienna
Feb 23, 2022 03:42Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, licha ya njama kubwa zilizofanywa na serikali ya Trump huko Marekani lakini njama zake zote zilishindwa mbele ya Iran na hakuweza kulipigisha magoti taifa hili wala kulifanya litengwe. Amesema, shabaha ya Tehran ni kufikia mapatano mazuri katika mazungumzo ya Vienna, Austria.
-
Raisi atoa mwito wa kustawishwa uhusiano wa Iran na Msumbiji
Feb 22, 2022 23:21Rais Ebrahim Raisi wa Iran ametoa mwito wa kuboreshwa uhusiano wa pande mbili baina ya Jamhuri ya Kiislamu na Msumbiji katika nyuga tofauti.